masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ilikuwaje?Kama ni hawa walikuwa wanaishi UK na siyo India,walikwenda SA Honeymoon baada ya kufunga ndoa na ndiko mauaji yalipofanyika.Kuna kipindi cha huu mkasa wamekionyesha sana Investigation Discovary na Crime and Investigation.
Ni ndefu kidogo kuelezea lakini kwa kifupi ni kama alivyoelezea aliyeanzisha hii mada.Search "The honeymoon murder' case of Anni Dewan youtube.Ilikuwaje?
Hahhaa bombei....ila jamaa alikua na uraia wa kwa malkia na alikua milionea...sasa sijui kwanini aliamua kuua.Bombwi ni nin dada
Hahhaa bombei....ila jamaa alikua na uraia wa kwa malkia na alikua milionea...sasa sijui kwanini aliamua kuua.
Huyu jamaa mmoja wa watu waliotoa ushuhuda wa kesi yake wanadai alilala nae ni malaya wa kiume ....yaani gay na wakati anaongea nae wakati wa minyanduano alimwambia anatamani angehairi kufunga ndoa..Ni ndefu kidogo kuelezea lakini kwa kifupi ni kama alivyoelezea aliyeanzisha hii mada.Search "The honeymoon murder' case of Anni Dewan youtube.
Ndio ndio....na kipindi cha kesi kuna kahaba wa kiume alitoa ushuhuda akasema jamaa hakutamani ndoa ...Naona jamaa amekuwa gay ana boyfriend
Angemuacha binti wa watu akaendelea na ushoga wake inaonekana alimuaa kabisaNdio ndio....na kipindi cha kesi kuna kahaba wa kiume alitoa ushuhuda akasema jamaa hakutamani ndoa ...
Ndo najiuliza kwanini hakumuacha tu..story hiyo ina uwalakini mwingi sana.Angemuacha binti wa watu akaendelea na ushoga wake inaonekana alimuaa kabisa
Halaf eti anajisingizia kuumwa wakati yupo busy anatinduliwa huyo alipanga mauaji ya mkeweNdo najiuliza kwanini hakumuacha tu..story hiyo ina uwalakini mwingi sana.
Unaambiwa katika asilimia 70 ya mauaji
Inahusisha mapenzi...either mume,mchumba,mke...yaani mapenzi lazima yawe katikati...check movie inaitw a loving adult iko Netflix
Gazeti la Raia mwema walikuwa na makala kila week wanaelezea huu mkasa,wadosi sio watu kuna kisa kilitokea hapa bongo kama sikosei miaka ya tisini mwanzoni kuna jamaa walikuwa wanaishi mwananyamala walichomwa moto na bosi wao mdosi,ile kesi sijui ilishajeKama ni hawa walikuwa wanaishi UK na siyo India,walikwenda SA Honeymoon baada ya kufunga ndoa na ndiko mauaji yalipofanyika.Kuna kipindi cha huu mkasa wamekionyesha sana Investigation Discovary na Crime and Investigation.
Ukisearch youtube utakikuta hiki kisa pia.
Mdosi mwingine hapa bongo juzi juzi tu alimuua mkewe hotelini,akamkata vipandevipande,akaviweka kwenye begi kubwa,alidakwaGazeti la Raia mwema walikuwa na makala kila week wanaelezea huu mkasa,wadosi sio watu kuna kisa kilitokea hapa bongo kama sikosei miaka ya tisini mwanzoni kuna jamaa walikuwa wanaishi mwananyamala walichomwa moto na bosi wao mdosi,ile kesi sijui ilishaje