Muhindi alieyeenda kukodi muuaji Afrika Kusini

Muhindi alieyeenda kukodi muuaji Afrika Kusini

Na wakati mauaji yanafanyika jamaa alikua kashapanda pipa?
Alikua angani, na kisa hicho kuja kujulikana ilikua baadae na enzi hizo walikua wanafunika kombe tu mwanaharamu anapita, hakukua na kesi yoyote maana hata hitman hakukamatwa. Tulikua wadogo lakini ilikua news kubwa bongo.
 
Visa vya mauaji kwa kutumia risasi ni vingi sana Hadi Sasa, Na pia wauaji wa kukodi ni wengi sana
 
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.

Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.

Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.

South Africa ni nchi ya kusikitisha sana

View attachment 2517784

Kuna documentary yake mkuu, main suspect akiwa ni huyo Shrien kisa kilitokea kitambo kidogo.
 
Kama ni hawa walikuwa wanaishi UK na siyo India,walikwenda SA Honeymoon baada ya kufunga ndoa na ndiko mauaji yalipofanyika.Kuna kipindi cha huu mkasa wamekionyesha sana Investigation Discovary na Crime and Investigation.
Ukisearch youtube utakikuta hiki kisa pia.
Yeah ni ya kitambo kidogo niliona huko
 
Tafta documentary inaitwa shallow graves. Ni kisa kimoja cha kusisimua cha mauaji ya baba mama na watoto 2. Huku polisi wakiaminiw ametorokea mexico kumbe wameuawa na kuzikwa kwenye jangwa mapaka mwendesha pikipiki alipopata mabaki yao jangwani baada aya miaka kama 3.
Kuna mtu kafungwa alikuwa rafiki wa huyo baba, ila mimi siamini kama ndiye muuaji baada ya kutazama shallow graves
 
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.

Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.

Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.

South Africa ni nchi ya kusikitisha sana

View attachment 2517784
Katazame na the shallow graves mauaji ya baba mama na watoto wawili haalfu polisi wakaamini wamekimbilia mexico mpaka baada ya mika sijui 3 yalipopatikana mabaki yao yamezikwa jangwani au ukikosa tafta kwa jina Mc Stay family murders
 
Ushoga ni laana kwakweli!

Jamaa alikodi mfuasi mwenzake wa motoni ili akamuue binti wa watu innocent, ili yeye abaki anadunda hapa duniani na aendelee kuchezewa utope na wanaume wenzie. Huyo demu bora angekuja kutafuta bwana Afrika tu maskeen, angepata rijal la nguvu!
 
Back
Top Bottom