Muhindi alieyeenda kukodi muuaji Afrika Kusini

Sijawah unaweza nisimulia kidogo napenda hizo story
Kalikiwa kadada karembo kana miaka 20 kameenda field. Kakawa kanaishi kwenye apartment moja expensive wazazi wake hawajui kumbe kana mahusiano na baba mtu mzima tena senator. Baadae kakapotea tu so kwakuwa eneo hilo alikuwa mgeni kaja field, so hakuna aliyeshtuka ila wazazi wakawa wanapga simu haipatikani na walikuwa wanaishi sehemu nyingine so ikabidi wawasiliane na polisi.
Polisi kwenda pale ndani wakakuta kila kitu chake kipo yani ni kama vile hakuwa na mpango wa safari yani vile vitu vyake muhimu kama vitambulisho, pochi, hadi bank cards zipo mle kwenye apartment.
Hilo likawashtua wakaanza pepeleza ndo wakajua kuwa alikuwa na uhusiano na senator, kumfuata senator akagoma mara ya kwanza kuwa hamfahamu, walipomletea ushahidi wa mawasiliano yao akasema anamfahamu ila alikuwa tu kama mentor wake maana na yeye alikuwa ana nia ya kuwa mwanasiasa.
Katika kuchunguza computer yake wakagundua siku ya mwisho kutumia hiyo computer aligoogle jengo fulani ambalo ni kama la vacation haliko mbali na hapo ila limejitenga si unajua ya majengo yana eneo kubwa la miti.
Basi wakaanza fuatilia maeneo yote yaliyo zunguka eneo hilo na wakawa wanaamini kuwa atakuwa aliitwa eneo hilo na mtu anayemwamini na wakawa wanahisi mtu mwenye access na jengo kama hilo la vacation atakiwa senator.
Any way to cut the story short, walikuja kupata skelaton yake lakini upelelezi ukawa umesitishwa baada ya sept 11 so polisi na kila kitengo cha usalama kikawa huko.
Baadae kesi alikuja kuuziwa jamaa illegal immigrant hadi akatokea shahidi wa uongo ambaye alikuwa mfungwa akasema kuwa jamaa akiwa selo alimwambia kuwa ndiye alimuua chandra.
Ila bàadae huyo shahidi baada ya yule immigrant kufungwa aliachiwa ana akiwa njr akaja mwambia mtu kuwa alitoa ushahidi wa uongo na huyo aliyekuwa anamwambia akamrekodi na kwenda kuachia hizo sauti kwenye kituo cha habari so ikabdi yule immigrant afutiwr hukumu ila alirudishwa kwao.
Yani kuna mambo mengi na kuna viashiria vingi vya kumlinda senator na wakati wa kesi senator aliletwa ka shahidi na mawakili watetezi wa immigrant hawakuruhusiea kumuuliza maswali.
 
Nimemuona ni karembo kweli dunian kuna mikasa iliyojificha ,simulizi nzuri sana
 
Kuna Ile series ya Spartacus Kuna episode Inaitwa "Kill them all"..... Hayo mauaji yalikuwa si mchezo.
 
Ishu inayofanana na hii iliwahi kutokea tena hukohuko Sauz. Mwanariadha mmoja maarufu wa nchini humo alimpiga risasi kwa bastola mke wake. Baada ya case kuendeshwa muda mrefu mahakamani, jamaa alijitetea kuwa hakuua kwa kukusudia, akaachiwa huru.
Yule jamaa kaachiwa huru? Si alihukumiwa kabisa? Unamzungumizia Oscar pistorius?
 
Wahindi noumer sana kuna mauaji yalitokea Upanga enzi hizo tukiwa wadogo, mfanyabiashara maarufu hapo Dar akijulikana kwa jina la Shabbir Bora alipigwa risasi barabara ya Ally Khan. Kisa kilikuja kkujulikana baadae kua alikua anamla mke wa jamaa aliekua akiishi London. Jamaa alimuonya huyo Bora lakini akakaidi, basi jamaa akarudi Dar akatafuta hitman siku jamaa anageuza UK, yule hitman akafanya yake hapo Upanga. Ilikua bonge la habari enzi hizo maana huyo Shabbir Bora alikua mdogo wa mmiliki na mfadhili wa timu ya Maji maji ya Songea akiitwa Shaffi Bora.
Na wakati mauaji yanafanyika jamaa alikua kashapanda pipa?
 
Ishu inayofanana na hii iliwahi kutokea tena hukohuko Sauz. Mwanariadha mmoja maarufu wa nchini humo alimpiga risasi kwa bastola mke wake. Baada ya case kuendeshwa muda mrefu mahakamani, jamaa alijitetea kuwa hakuua kwa kukusudia, akaachiwa huru.

Hivi alishaachiwa?hivi unapiga risasi nne mkupuo inashangaza wanawake wanaonewa sana
 
Kalikiwa kadada karembo kana miaka 20 kameenda field. Kakawa kanaishi kwenye apartment moja expensive wazazi wake hawajui kumbe kana mahusiano na baba mtu mzima tena senator. Baadae kakapotea tu so kwakuwa eneo hilo alikuwa mgeni kaja field, so hakuna aliyeshtuka ila wazazi wakawa wanapga simu haipatikani na walikuwa wanaishi sehemu nyingine so ikabidi wawasiliane na polisi.
Polisi kwenda pale ndani wakakuta kila kitu chake kipo yani ni kama vile hakuwa na mpango wa safari yani vile vitu vyake muhimu kama vitambulisho, pochi, hadi bank cards zipo mle kwenye apartment.
Hilo likawashtua wakaanza pepeleza ndo wakajua kuwa alikuwa na uhusiano na senator, kumfuata senator akagoma mara ya kwanza kuwa hamfahamu, walipomletea ushahidi wa mawasiliano yao akasema anamfahamu ila alikuwa tu kama mentor wake maana na yeye alikuwa ana nia ya kuwa mwanasiasa.
Katika kuchunguza computer yake wakagundua siku ya mwisho kutumia hiyo computer aligoogle jengo fulani ambalo ni kama la vacation haliko mbali na hapo ila limejitenga si unajua ya majengo yana eneo kubwa la miti.
Basi wakaanza fuatilia maeneo yote yaliyo zunguka eneo hilo na wakawa wanaamini kuwa atakuwa aliitwa eneo hilo na mtu anayemwamini na wakawa wanahisi mtu mwenye access na jengo kama hilo la vacation atakiwa senator.
Any way to cut the story short, walikuja kupata skelaton yake lakini upelelezi ukawa umesitishwa baada ya sept 11 so polisi na kila kitengo cha usalama kikawa huko.
Baadae kesi alikuja kuuziwa jamaa illegal immigrant hadi akatokea shahidi wa uongo ambaye alikuwa mfungwa akasema kuwa jamaa akiwa selo alimwambia kuwa ndiye alimuua chandra.
Ila bàadae huyo shahidi baada ya yule immigrant kufungwa aliachiwa ana akiwa njr akaja mwambia mtu kuwa alitoa ushahidi wa uongo na huyo aliyekuwa anamwambia akamrekodi na kwenda kuachia hizo sauti kwenye kituo cha habari so ikabdi yule immigrant afutiwr hukumu ila alirudishwa kwao.
Yani kuna mambo mengi na kuna viashiria vingi vya kumlinda senator na wakati wa kesi senator aliletwa ka shahidi na mawakili watetezi wa immigrant hawakuruhusiea kumuuliza maswali.
Wewe ni mzuri wa kuelezea hii mikasa vizuri sana.Ni juzi tu IDX walirudia kuonyesha hiki kisa kwenye kipindi chao cha 'Peoples Magazine Investigates'.
 
Sema haya mambo kote kote. Ushawahi fuatilia kisa cha chandra levy? Hii ni US na aliyemuua analindwa kisa alikuwa ni senator.
Kuna pia mkasa mmoja wa Muhindi hivyo hivyo alimuua mke wake na akareport Police kuwa mkewe ametoweka na kuwatelekeza watoto wao wawili ,lakini wakati huo huo alisha andaa mazingira ya kumsingizia aliyekuwa mpenzi wa mkewe maana walishakuwa kama wametengana.

Kilichomuokoa yule mpenzi wake ni alikuwa na airtight alibi akiwa zaidi ya miles 1000 kutoka kwa yalipofanyika mauaji.Mwili wa marehemu ulikutwa vichakani huko ukiwa ulishaharabika sana.Kilichowafanya kumgundua marehemu zilikuwa rangi ya kucha zake alizopaka.Police wa US walimdaka vizuri tu mume wake kwa ushahidi usio na shaka na akafungwa maisha.
 
Thats the result of removing the white man from power. Black people dont build but they destroy
 
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.

Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.

Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.

South Africa ni nchi ya kusikitisha sana

View attachment 2517784
Aisee watu wengine akili hawana! Unapata wapi ujasiri wa kumuua mke wako wa ndoa! Bora hata kumuachia kila kitu, na kwenda kuanza maisha upya. Ila siyo kufikia hatua hiyo.
 
Wanadai alikua gay...kuoa ilikua kucover
 
Back
Top Bottom