Muhindi alieyeenda kukodi muuaji Afrika Kusini

Kama ni hawa walikuwa wanaishi UK na siyo India,walikwenda SA Honeymoon baada ya kufunga ndoa na ndiko mauaji yalipofanyika.Kuna kipindi cha huu mkasa wamekionyesha sana Investigation Discovary na Crime and Investigation.
Ukisearch youtube utakikuta hiki kisa pia.
Kwaninisasa alimuua mkewe
 
Mambo mengi yalikuwa captured na cctv camera ya hoteli waliyofikia kwa mfano, hlo la kupeana pesa chooni, baada ya mke wake kuambiwa akauawa alilia halafu baadae ikaonekana anazungumza na simu huku akicheka, masaa machache kabla ya mkewe kuuawa alimnyoshea vidole kwa ishara ya pistol kama anamshoot.
Kuna viashiria kibao lakini vyote ni circumstancial evidence
Yule kaka ushahidi wa camera ulionesha na alipoenda kubadili fedha ushahidi mwingi na nasikia kwenye msiba wala hakuwa na huzun kabisa anawaza suti yake iwe nzuri na imfiti vyema,sasa yule dada alimuoa wa nin wakati anapenda kupelekewa moto na mmoja wa shoga mwenzie alisema kuwa shrien alikuwa anasema anatamani asifunge ndoa sijui alilazimishwa
 
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.

Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.

Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.

South Africa ni nchi ya kusikitisha sana

View attachment 2517784
Hii bonge ya story...walikuwa wan juuaishi england. Ila sema nao prosecution walibuki kwenye hiyo kesi. Wao argument yao ni kwamba jamaa alikuwa anafukuliwa mtaro hivyo basi itakuwa kamuua mke kwa sababu ya mke kujua hiyo siri.

Kweli circumstantial evidence inaonyesha kuwa jamaa alipanga kila kitu ata reaction yake lakini prosecution walibugi. Ata mie ningekuwa judge ningetupa nje hiyo kesi.

Motive waliyo present was weak.
 
Yule kaka ushahidi wa camera ulionesha na alipoenda kubadili fedha ushahidi mwingi na nasikia kwenye msiba wala hakuwa na huzun kabisa anawaza suti yake iwe nzuri na imfiti vyema,sasa yule dada alimuoa wa nin wakati anapenda kupelekewa moto na mmoja wa shoga mwenzie alisema kuwa shrien alikuwa anasema anatamani asifunge ndoa sijui alilazimishwa
Ukisikiliza upande wa pili pia unaweza badili mawazo maana kila hoja aliipangua na tena utetezi wake una make sense.
Kubadili pesa alisema tongo alimwambia kuna maduka yasiyo rasni na FX rate nzuri so alimpeleka yeye kwenye maduka hayo na lengo la kubadili hizo fedha alikuwa amemwomba tongo amconnect na mtu ambaye atamsaidia kukodi helcopter kwa ajili ya mkewe alitaka kumfanyia suprise.
Na kati ya wahusika wote ni mhusika mmoja ambaye alikataa kuwa Shrien hakuhusika na huyo ndiye akaangushiwa ziko kuwa alimshoot Anne wakati ushahidi wa eneo la tukio yani kwenye gari alipokuwa amekaa huyo jamaa na risasi ilipoingia unapingana kuwa asingeweza kuwa ndiye aliyemshoot. Na huyo jamaa alifungwa miaka mingi na akauawa huko gerezani.
Ukisikiliza upande wa pili pia sometimes unaona kama pia Shrien hakuhusika tu ni mazingira yalimweka aonekane kama mhusika.
Kuhusu pesa alizompa chooni alisema, alikuwa anamwonea huruma tongo kwa sababu alikuwa ndiye anawazungusha toka siku ya kwanza na alijua anategemea tax sasa muda huo tax ilikuwa mikononi mwa polisi hivyo alimwita kuwa kabla hajaondoka angependa ampe pesa kidogo ya kutumia.
 
Ndo najiuliza kwanini hakumuacha tu..story hiyo ina uwalakini mwingi sana.
Unaambiwa katika asilimia 70 ya mauaji
Inahusisha mapenzi...either mume,mchumba,mke...yaani mapenzi lazima yawe katikati...check movie inaitw a loving adult iko Netflix
Amuache ili wagawane mali abakie masikini?

Umasikini mbaya, na wanawake wakizungu wana taka haki tofauti na wakwetu ana weza kwenda kwenye ndumba Au akasamehe

Ila wenzetu haki haki

Hivyo nazani chanzo cha kumpoteza mwenzie ni mali
 
Ukisikiliza upande wa pili pia unaweza badili mawazo maana kila hoja aliipangua na tena utetezi wake una make sense.
Kubadili pesa alisema tongo alimwambia kuna maduka yasiyo rasni na FX rate nzuri so alimpeleka yeye kwenye maduka hayo na lengo la kubadili hizo fedha alikuwa amemwomba tongo amconnect na mtu ambaye atamsaidia kukodi helcopter kwa ajili ya mkewe alitaka kumfanyia suprise.
Na kati ya wahusika wote ni mhusika mmoja ambaye alikataa kuwa Shrien hakuhusika na huyo ndiye akaangushiwa ziko kuwa alimshoot Anne wakati ushahidi wa eneo la tukio yani kwenye gari alipokuwa amekaa huyo jamaa na risasi ilipoingia unapingana kuwa asingeweza kuwa ndiye aliyemshoot. Na huyo jamaa alifungwa miaka mingi na akauawa huko gerezani.
Ukisikiliza upande wa pili pia sometimes unaona kama pia Shrien hakuhusika tu ni mazingira yalimweka aonekane kama mhusika.
Kuhusu pesa alizompa chooni alisema, alikuwa anamwonea huruma tongo kwa sababu alikuwa ndiye anawazungusha toka siku ya kwanza na alijua anategemea tax sasa muda huo tax ilikuwa mikononi mwa polisi hivyo alimwita kuwa kabla hajaondoka angependa ampe pesa kidogo ya kutumia.
Na kuhusu kuwa shoga ilikuwaje akawa na double life?ina maana wale jamaa walishinikizwa na serikali waseme kuwa shrien Ndio kamuua ili wasipoteze watalii ,
Ila kwa ninavyoona nahisi shrien alihusika ukiangalia cctv camera labda we unaonaje?anni hakutendewa haki
 
Kamuua mkewe ili aendelee kufirwa baada ya kuonja utamu....ulezi wa watoto wakiume umekuwa tabu sana siku hizi
Alianza hata kabla ya kumuoa na alimuambia baba yake anni kuwa mpaka atakapomuoa Ndio atashiriki ngono na mkewe kumbe huku jamaa hata hana nguvu vile anapelekewa moto
 
Na kuhusu kuwa shoga ilikuwaje akawa na double life?ina maana wale jamaa walishinikizwa na serikali waseme kuwa shrien Ndio kamuua ili wasipoteze watalii ,
Ila kwa ninavyoona nahisi shrien alihusika ukiangalia cctv camera labda we unaonaje?anni hakutendewa haki
Mahakama inaangalia ushahidi wale askari walikurupuka hawakujipanga na wakakutana na mawakili walioshiba kutoka kwa shrien wakaleta hoja ambazo zilifanya ushahidi wao uwe na mashaka na kuna ushahidi wa wale wahusika unajicontradict.
Mimi niko katikati mwanzo nilikuwa nahisi shrien alipanga mauaji wakati nafuatilia hiyo kesi nadhani ilikuwa 2014 hivo kipindi ambapo kesi ya kuomba arudishwe S.A ili ashitakiwe ikiendelea kule UK.
Lakini nilipokuja kurevisit hiyo kesi mwaka jana kupitia iDX na hapo kumbuka alikuwa asharudi na kesi ishahukumiwa na miaka ishapita nikasikiliza hoja za upande wa pili nikabaki dilema. Niko 50/50.
Polisi wa S.A waliharibu ushahidi na sio weledi tu kama wa kwetu yani hata crime scene hawakuitreat sawa.
Ile kesi ulikuwa na msukumo mkubwa wa kisiasa kuwa solved haraka. Wewe fikiria wale wauaji wote 3 waliingia nao makubaliano baada ya siku 1 tu ili watoe ushahidi.
 
Mdosi mwingine hapa bongo juzi juzi tu alimuua mkewe hotelini,akamkata vipandevipande,akaviweka kwenye begi kubwa,alidakwa
Pilipili ikizidi sana inapanda kichwani unakuwa na hasira kali sana isiyoelezeka. Ni kuwa makini na matumizi ya pilipili
 
Mahakama inaangalia ushahidi wale askari walikurupuka hawakujipanga na wakakutana na mawakili walioshiba kutoka kwa shrien wakaleta hoja ambazo zilifanya ushahidi wao uwe na mashaka na kuna ushahidi wa wale wahusika unajicontradict.
Mimi niko katikati mwanzo nilikuwa nahisi shrien alipanga mauaji wakati nafuatilia hiyo kesi nadhani ilikuwa 2014 hivo kipindi ambapo kesi ya kuomba arudishwe S.A ili ashitakiwe ikiendelea kule UK.
Lakini nilipokuja kurevisit hiyo kesi mwaka jana kupitia iDX na hapo kumbuka alikuwa asharudi na kesi ishahukumiwa na miaka ishapita nikasikiliza hoja za upande wa pili nikabaki dilema. Niko 50/50.
Polisi wa S.A waliharibu ushahidi na sio weledi tu kama wa kwetu yani hata crime scene hawakuitreat sawa.
Ile kesi ulikuwa na msukumo mkubwa wa kisiasa kuwa solved haraka. Wewe fikiria wale wauaji wote 3 waliingia nao makubaliano baada ya siku 1 tu ili watoe ushahidi.

Nimekuelewa ila inasikitisha sana ukweli anaujua yeye shrien kama alihusika au la naona hata familia zao washakuwa maadui
 
Yah washakuwa maadui. Na mbaya zaidi hawakuwa na technology ya kujua nini walikuwa wakizungumza tongo na shrien kwenye simu so ni he said, I said.
 
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.

Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.

Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.

South Africa ni nchi ya kusikitisha sana

View attachment 2517784
Hawa ni wahindi wa UK hii kesi ilivuma sana kwenye media ilipotokea. Jamaa alikua gay.
 
Mbona huku siwaoni wale wa kataa ndoa. Ingekua mwanamke ndo amefanya hayo huu uzi saizi ungekua unayoyoma kwenye comments elf sita
Mkuu bado NDOA ni muhimu kwa mustakabali wa dunia, haya mengine ni sehemu ndogo sana kuliko mazuri yasiyotangazwa!.

Cause unajua jinsi mabaya yanavyosafiri kuliko mazuri.
 
Back
Top Bottom