Wahindi noumer sana kuna mauaji yalitokea Upanga enzi hizo tukiwa wadogo, mfanyabiashara maarufu hapo Dar akijulikana kwa jina la Shabbir Bora alipigwa risasi barabara ya Ally Khan. Kisa kilikuja kkujulikana baadae kua alikua anamla mke wa jamaa aliekua akiishi London. Jamaa alimuonya huyo Bora lakini akakaidi, basi jamaa akarudi Dar akatafuta hitman siku jamaa anageuza UK, yule hitman akafanya yake hapo Upanga. Ilikua bonge la habari enzi hizo maana huyo Shabbir Bora alikua mdogo wa mmiliki na mfadhili wa timu ya Maji maji ya Songea akiitwa Shaffi Bora.