masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.
Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.
Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.
South Africa ni nchi ya kusikitisha sana