Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Alikua angani, na kisa hicho kuja kujulikana ilikua baadae na enzi hizo walikua wanafunika kombe tu mwanaharamu anapita, hakukua na kesi yoyote maana hata hitman hakukamatwa. Tulikua wadogo lakini ilikua news kubwa bongo.Na wakati mauaji yanafanyika jamaa alikua kashapanda pipa?
Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.
Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori. Kwamba muhindi alitoka huko Bombay na mkewe mpaka kwa Madiba, kufika akakodi hitman akamuua mke wake.
Baadae yule muuaji alikamatwa na alieleza ukweli huo kwamba aliagizwa na mume mtu lakini mume mtu wala hakupatikana na hatia.
South Africa ni nchi ya kusikitisha sana
View attachment 2517784
Yeah ni ya kitambo kidogo niliona hukoKama ni hawa walikuwa wanaishi UK na siyo India,walikwenda SA Honeymoon baada ya kufunga ndoa na ndiko mauaji yalipofanyika.Kuna kipindi cha huu mkasa wamekionyesha sana Investigation Discovary na Crime and Investigation.
Ukisearch youtube utakikuta hiki kisa pia.
Tafta documentary inaitwa shallow graves. Ni kisa kimoja cha kusisimua cha mauaji ya baba mama na watoto 2. Huku polisi wakiaminiw ametorokea mexico kumbe wameuawa na kuzikwa kwenye jangwa mapaka mwendesha pikipiki alipopata mabaki yao jangwani baada aya miaka kama 3.Aisee
Katazame na the shallow graves mauaji ya baba mama na watoto wawili haalfu polisi wakaamini wamekimbilia mexico mpaka baada ya mika sijui 3 yalipopatikana mabaki yao yamezikwa jangwani au ukikosa tafta kwa jina Mc Stay family murdersKatika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika.