Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu.

Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya.

Tulipiga picha mbili za pamoja, tukanywa chai pale K T Shop na kuagana. Kila mtu akaendelea na mambo yake.

Jioni ilipofika akanitumia sms kwamba amenipenda sana na anataka niwe bwana wake, nikakataa. Nikamwambia mambo ya ushoga kwangu ni big no.

Ni miezi miwili sasa imepita lakini kila mara amekuwa akituma picha tulizopiga wote na kuandika maneno kwamba I miss you very much mu sweet husband.

Hii inanikera sana na mbaya zaidi simpati kwenye simu. Ndugu na marafiki zangu wameziona hizo picha mtandaoni, yaani wananiona tayari nimekuwa mfi**ji.

Je nifanyeje kumdhibiti baradhuli ms**ge huyu?
  1. Nini kiini cha kuombana urafiki mtandaoni? je ni biashara?
  2. Ulijaribu kupata historia yake kabla hujakubali kuonana naye?
 
Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu.

Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya.

Tulipiga picha mbili za pamoja, tukanywa chai pale K T Shop na kuagana. Kila mtu akaendelea na mambo yake.

Jioni ilipofika akanitumia sms kwamba amenipenda sana na anataka niwe bwana wake, nikakataa. Nikamwambia mambo ya ushoga kwangu ni big no.

Ni miezi miwili sasa imepita lakini kila mara amekuwa akituma picha tulizopiga wote na kuandika maneno kwamba I miss you very much mu sweet husband.

Hii inanikera sana na mbaya zaidi simpati kwenye simu. Ndugu na marafiki zangu wameziona hizo picha mtandaoni, yaani wananiona tayari nimekuwa mfi**ji.

Je nifanyeje kumdhibiti baradhuli ms**ge huyu?
Hahahahaha 😂pole sana
 
Bro hebu kuwa muwazi, inakauje ka dunia yeu yaleo , mwanaume mwenako akikuomba urafiki huo FB, akaomba mkutane na wewe uaenda na bila kuwaza mara mbili inawezekana hiy ina husiana na ushoga? unanipa maswali mengi sana ya kujiuliza, , tuambia ukweli kama alikufinyia kwa ndani na baad aya hapo hukurudhika na malipo ukaamua achana naye na yeye aka mind na kaunza kuku harras kwa kuanza weka pich zako, huyu Muhindi kwa ujasiri upi afanye hayo yote kama hauna kitu kinacho ku funga wewe kuchukua hatua na yeye kukuogopa? Asije kuaan apicha hadi mna kulana tena video na ndio labda huthubutu ku mface
 
Sasa si bora hivyo, hata ndugu zako wakikuona wewe mfiraji..... je angetangaza kuwa wewe ni demu wake huwa anakupakua?
 
Kwanza tuambie mlianza Anza vipi mpaka mkapeana namba za simu, mpaka mkanywa chai wote kwa pamoja?
Tuonyeshe hiyo picha na message isije ikawa kakuita my wife wewe ukatugeuzia kibao.
Leta ushahidi.
 
Back
Top Bottom