Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2022
Posts
671
Reaction score
1,543
Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu.

Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya.

Tulipiga picha mbili za pamoja, tukanywa chai pale K T Shop na kuagana. Kila mtu akaendelea na mambo yake.

Jioni ilipofika akanitumia sms kwamba amenipenda sana na anataka niwe bwana wake, nikakataa. Nikamwambia mambo ya ushoga kwangu ni big no.

Ni miezi miwili sasa imepita lakini kila mara amekuwa akituma picha tulizopiga wote na kuandika maneno kwamba I miss you very much mu sweet husband.

Hii inanikera sana na mbaya zaidi simpati kwenye simu. Ndugu na marafiki zangu wameziona hizo picha mtandaoni, yaani wananiona tayari nimekuwa mfi**ji.

Je nifanyeje kumdhibiti baradhuli ms**ge huyu?
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Eti ndugu na marafiki washakuona wewe ni mfiraji.
 
sodomy is sinful and abomination, geukeni, mwogopeni Mungu. dunia imeisha, you will be accountable for everything that you're doing.
 
Back
Top Bottom