ni maandalizi ya kisayansi katika siasa ya kurithishana madaraka kifamilia kwa kuichanganya jamii na vizazi vijavyo kutokua na sense ya familia moja kuongoza taifa, kitu ambacho wakati mwingine hua kinaiudhi jamii,kwanini majina yake ni tofauti na ya museven?
Ngoja museven aje atupe majibu.kwanini majina yake ni tofauti na ya museven?
Mpaka kafika kuwa mkuu wa majeshi, kakuzidi akili nyingi sana.Mtu mjinga zaidi kuwahi kuishi ulimwenguni ni huyu General feki
Yoweri Museveni ana mdogo wake anaitwa Caleb Akandwanaho ila akiwa msituni kwenye harakati na Uganda Resistance Army alifahamika kama Major General Salim Saleh.Nchi zingine mtoto anapozaliwa upewa majina mawili yasiyo na ubini wa baba.
Wapi wewe,huna akili huwezi hata kufikiria mzee wake ndio anamnyanyuaMpaka kafika kuwa mkuu wa majeshi, kakuzidi akili nyingi sana.
Mtu kakulia ikulu kasomea ikulu kasomeshwa huko huko kavishwa nguo za jeshi na kuwa mkubwa jeshini. Anwaeza akaongea tu ila vita havifahamu yeye anaona kukamata wanaharakati hapo Uganda ni vita. Vita havifahamu huyu bwege, aachwe aongee tuuMpaka kafika kuwa mkuu wa majeshi, kakuzidi akili nyingi sana.
Alikuwa Rwanda Juzi Hapa,,Ni Ujumbe Wa Rwanda Kwa DRC Lakini Uwasilishwaji/Ujumbe Umefikishwa Na Gen:Muhoozi
Huyu huwa namuona ni chizi mwenye mizaha ya kitoto aliyepewa majukumu makubwa ya kulinda udalama wa nchi.Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRCView attachment 3282434
Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
Nadhani tunahitaji kuboresha jeshi letu kwa vifaa na mazoezi ya kutosha. Dunia inaelekea kuwa uwanja wa vurugu soon. Huyu minga soon atakuja kuwa rais.Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRCView attachment 3282434
Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
Waganda wanakodoa macho kama watanzania mlivyo kwisha jifia mkisubili bwana akirudi kuwafufua.Kwa waafrika tulivyo mataahira hili jamaa limeshaonesha dalili za kutosha za udikteta uliochanganywa na dharau, kiburi na ujinga mwingi, lakini litakabidhiwa nchi mchana kweupe huku waganda wakikodoa tu kisha baadaye waanze kulia!