Muhoozi Kainerugaba; ni mjinga sana mwenye confidence au ana dharau sana

Waganda wanakodoa macho kama watanzania mlivyo kwisha jifia mkisubili bwana akirudi kuwafufua.
Usilinganishe na Tanzania kamwe. Toka 1986 Tanzania ina marais wafuatao Mwinyi, Mkapa, Kikwette, Magufuli na Samia.

Kwa kipindi hicho Uganda ina Yoweri Museveni tu
 
Kwa waafrika tulivyo mataahira hili jamaa limeshaonesha dalili za kutosha za udikteta uliochanganywa na dharau, kiburi na ujinga mwingi, lakini litakabidhiwa nchi mchana kweupe huku waganda wakikodoa tu kisha baadaye waanze kulia!
Mbona sisi hapa tunaongozwa na bibi wa kigeni kutoka Zenji tunakodoa mimacho tu kama ma-zombie.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako-Walisema wahenga.
 
Duh! Hivi mkuu umesoma na kuelewa kweli? Au una boriti kwenye brain? Mbona nilichokisema kinaeleweka kirahisi tu tena mwanzoni kabisa mwa statement ya kwanza!

Au kuna sehemu nimeitoa Tz Afrika kuiweka Ulaya au America?
 
Mbona sisi hapa tunaongozwa na bibi wa kigeni kutoka Zenji tunakodoa mimacho tu kama ma-zombie.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako-Walisema wahenga.
Kasome Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ndipo uje uandike pumba zako hapa
 
Kuna watu walisema huyo jamaa nje ya baba yake ni mwepesi kama tissue
Muhoozi kwanza ni mlevi mbwa kama akina Chid benz tu tofauti yeye ni teja wa pombe wakati Chidi ni wa ngada
 
Anabwabwaja si mara ya kwanza, mzee wake amwambie kabisa atakuja zua balaa kwa mdomo wake.
Ma cdf wenzie ni watu wa hekima na ukimya
Kimsingi Uganda ina bahati mbaya. Hata Museveni mwenyewe kwa sasa uwezo wake wa ubongo umesinyaa, na hatuoni mrithi wake ambaye ataweza kuirudisha Uganda kwenye reli
 
Usilinganishe na Tanzania kamwe. Toka 1986 Tanzania ina marais wafuatao Mwinyi, Mkapa, Kikwette, Magufuli na Samia.

Kwa kipindi hicho Uganda ina Yoweri Museveni tu
Haina maana yoyote maraisi wote hao waliopita katika nchi yao kimaendeleo Uganda Bado anawazidi that's how mnahitaji kuitoa ccm kama Uganda inavyo hitaji kumtoa mseven.
 
Maendeleo gani Uganda anatuzidi Tanzania? Kuna watu sijui mko usingizi wa karne
 
We Tanzania umemzidi Nini Uganda?
Tanzania iko na GDP kubwa kuliko Uganda ambayo inaifanya iwe kwenye top ten ya Africa pamoja na Nigeria, Morocco, South Africa, Egypt, Ethiopia, Ivory Coast, Algeria na Kenya.
 
Haina maana yoyote maraisi wote hao waliopita katika nchi yao kimaendeleo Uganda Bado anawazidi that's how mnahitaji kuitoa ccm kama Uganda inavyo hitaji kumtoa mseven.
Uganda wanatuzidi kitu gani wewe bwege? Afrika mashariki tunazidiwa na Kenya tu kiuchumi.

Wapumbavu mnakuja JF kuchangia hoja bila kuwa na data
 
Back
Top Bottom