maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,454
Product ya Monduli juu...upepo wa mtoto wa Rais anautendea Haki...Ila naamini ugomvi wake na Kenya unasubiri tu mzee afe...watamuondoa! Tanzania hathubutu ni muoga sana kuna vitu aliona hajawahi ona....amuombe sana MUNGU Awe Rais kabla mzee hajafa...na mama kabla hajatoka