Usilinganishe na Tanzania kamwe. Toka 1986 Tanzania ina marais wafuatao Mwinyi, Mkapa, Kikwette, Magufuli na Samia.Waganda wanakodoa macho kama watanzania mlivyo kwisha jifia mkisubili bwana akirudi kuwafufua.
Anabwabwaja si mara ya kwanza, mzee wake amwambie kabisa atakuja zua balaa kwa mdomo wake.Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRCView attachment 3282434
Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
Mbona sisi hapa tunaongozwa na bibi wa kigeni kutoka Zenji tunakodoa mimacho tu kama ma-zombie.Kwa waafrika tulivyo mataahira hili jamaa limeshaonesha dalili za kutosha za udikteta uliochanganywa na dharau, kiburi na ujinga mwingi, lakini litakabidhiwa nchi mchana kweupe huku waganda wakikodoa tu kisha baadaye waanze kulia!
Tanzania hii ya wajeda machawa au ya wajeda wa enzi za Mchonga? Hawahawa waliotuaibisha juzikati?Ni chizi hili Jamaa,Mwisho wake ni mbaya huyu Jamaa,IPO siku atajichanganya alopokee Tz tukamwokotee tumpige mandee.
Weka ushahidi. Solid facts na blah blahs za vijiwe vyetu vya arubastini.Wapi wewe,huna akili huwezi hata kufikiria mzee wake ndio anamnyanyua
Kuna watu walisema huyo jamaa nje ya baba yake ni mwepesi kama tissueAngalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRCView attachment 3282434
Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
Duh! Hivi mkuu umesoma na kuelewa kweli? Au una boriti kwenye brain? Mbona nilichokisema kinaeleweka kirahisi tu tena mwanzoni kabisa mwa statement ya kwanza!Mbona sisi hapa tunaongozwa na bibi wa kigeni kutoka Zenji tunakodoa mimacho tu kama ma-zombie.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako-Walisema wahenga.
Kasome Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ndipo uje uandike pumba zako hapaMbona sisi hapa tunaongozwa na bibi wa kigeni kutoka Zenji tunakodoa mimacho tu kama ma-zombie.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako-Walisema wahenga.
Muhoozi kwanza ni mlevi mbwa kama akina Chid benz tu tofauti yeye ni teja wa pombe wakati Chidi ni wa ngadaKuna watu walisema huyo jamaa nje ya baba yake ni mwepesi kama tissue
Tumia akili muheshimiwa.Kasome Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ndipo uje uandike pumba zako hapa
Wewe kwani unazo akili mpaka uniambie mimi nitumie akili? Au unaringia matako yako makubwa unadhani ndiyo akili zinakaa?Tumia akili muheshimiwa.
Hapa Sasa ndiyo umeonesha umetoa mimba ngapi.Mama mfiwa.Wewe kwani unazo akili moaka uniambie mimi nitumie akili? Au unaringia matako yako makubwa unadhani ndiyo akili zinakaa?
Kimsingi Uganda ina bahati mbaya. Hata Museveni mwenyewe kwa sasa uwezo wake wa ubongo umesinyaa, na hatuoni mrithi wake ambaye ataweza kuirudisha Uganda kwenye reliAnabwabwaja si mara ya kwanza, mzee wake amwambie kabisa atakuja zua balaa kwa mdomo wake.
Ma cdf wenzie ni watu wa hekima na ukimya
Kwa mahaba hayo kwake ni nadhihiri unataka akuoeWeka ushahidi. Solid facts na blah blahs za vijiwe vyetu vya arubastini.
Haina maana yoyote maraisi wote hao waliopita katika nchi yao kimaendeleo Uganda Bado anawazidi that's how mnahitaji kuitoa ccm kama Uganda inavyo hitaji kumtoa mseven.Usilinganishe na Tanzania kamwe. Toka 1986 Tanzania ina marais wafuatao Mwinyi, Mkapa, Kikwette, Magufuli na Samia.
Kwa kipindi hicho Uganda ina Yoweri Museveni tu
Maendeleo gani Uganda anatuzidi Tanzania? Kuna watu sijui mko usingizi wa karneHaina maana yoyote maraisi wote hao waliopita katika nchi yao kimaendeleo Uganda Bado anawazidi that's how mnahitaji kuitoa ccm kama Uganda inavyo hitaji kumtoa mseven.
We Tanzania umemzidi Nini Uganda?Maendeleo gani Uganda anatuzidi Tanzania? Kuna watu sijui mko usingizi wa karne
Uganda wanatuzidi kitu gani wewe bwege? Afrika mashariki tunazidiwa na Kenya tu kiuchumi.Haina maana yoyote maraisi wote hao waliopita katika nchi yao kimaendeleo Uganda Bado anawazidi that's how mnahitaji kuitoa ccm kama Uganda inavyo hitaji kumtoa mseven.