maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,454
Mkuu usikariri sana. Jeshi la Tz kama la Uganda tu, usikariri nakuonyaNi chizi hili Jamaa,Mwisho wake ni mbaya huyu Jamaa,IPO siku atajichanganya alopokee Tz tukamwokotee tumpige mandee.
Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRCView attachment 3282434
Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
Wewe ni mnyarwanda tena mtusi, nyie ndiyo mnadharau sana TPDF. Ila nenda kwenye Internet kaulize top 15 armies in Africa, Tanzania utaikuta ile hivyo vinchi vyenu havipo popoteMkuu usikariri sana. Jeshi la Tz kama la Uganda tu, usikariri nakuonya
Ni haki yake kikatiba unless unaandika tu bila kuwa na uelewa wa issue ndogo za civics ya form IIMbona sisi hapa tunaongozwa na bibi wa kigeni kutoka Zenji tunakodoa mimacho tu kama ma-zombie.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako-Walisema wahenga.
Uganda anawazidi Rwanda, South Sudan na Burundi katika hii East Africa, acheni kuandika kwa kuropoka. Mbona takwimu zipo!!Haina maana yoyote maraisi wote hao waliopita katika nchi yao kimaendeleo Uganda Bado anawazidi that's how mnahitaji kuitoa ccm kama Uganda inavyo hitaji kumtoa mseven.
Utafananishaje TPDF na Uganda Army?? Mbona nyie mnapenda sana kuidogosha Tanzania hivyo?Mkuu usikariri sana. Jeshi la Tz kama la Uganda tu, usikariri nakuonya
Sawa boss. Kuwa na amani kabisa. Jeshi lako ni imara na shupavu kabisa. Si tuliambiwa ni namba sita duniani au vipiUtafananishaje TPDF na Uganda Army?? Mbona nyie mnapenda sana kuidogosha Tanzania hivyo?
Hivi mumesahau kuwa Yoweri Museveni mwenyewe amejifunzia Tanzania ndiyo akapata confidence ya kuingia Lowero triangle na kuanzisha mashambulizi dhidi ya Serikali ya Okello??
Mumesahau kuwa mwaka 1978 Tanzania iliichapa Uganda licha ya kusaidiwa na Libya ya Gadaffi?
Muwe mnasoma kwanza historia kabla hamjaja hapa
Uganda wanatuzidi kitu gani wewe bwege? Afrika mashariki tunazidiwa na Kenya tu kiuchumi.
Wapumbavu mnakuja JF kuchangia hoja bila kuwa na data Ukweli ndio uo Uganda mpo nae sawa sawa
Asante Kwa kutusifia wakwenya ila ukweli ndio uo nyinyi watz na waganda is the same.Uganda wanatuzidi kitu gani wewe bwege? Afrika mashariki tunazidiwa na Kenya tu kiuchumi.
Wapumbavu mnakuja JF kuchangia hoja bila kuwa na data
Mpumbavu hujui hata kuandika, kweli utaweza kujenga hoja.? Wakwenya ndiyo nani?Asante Kwa kutusifia wakwenya ila ukweli ndio uo nyinyi watz na waganda is the same.
Labda ni litoto la kambo , hata mimi nishawahi kuuliza why majina yamechengana hivyo na ya Museveni ? , Hili litoto ni spoiled na majina ni tofauti na ya Museveni , halafu ndio wanaliandaa kuwa mrithi wa Museveni ,kwanini majina yake ni tofauti na ya museven?
Ina maana wewe huwa unayaacha matako yako nyumbani wakati unafikiria na kuandika?Maisha bila matako yafaa nini sasa?Wewe unatumia matako ndiyo maana unaandika hovyo hovyo tu
Kuna jamii ambazo majina hayafuati utaratibj wetu, hata dadake au binti wa Museven ana majina tofauti na wazazi na ndugu yake huyu chizi freshkwanini majina yake ni tofauti na ya museven?
sawa kwa hyo muhoozi baba yake ni kainerugaba?Kuna jamii ambazo majina hayafuati utaratibj wetu, hata dadake au binti wa Museven ana majina tofauti na wazazi na ndugu yake hiyu chizi fresh
Jina la mababusawa kwa hyo muhoozi baba yake ni kainerugaba?
au kainerugaba ndo museven?
babu yake yupi sheikh?Jina la mababu