little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
ahahaha bobi katisha sana sema lini mi nitasema wapi inaonekana muhoozi cha pombe sanaa hadi kumpa challenge ndogo kama hiyo.
ukitumia hii bongo inaweza kuwa mtiti kupata baadhi ya huduma za uma.Kuna jamii ambazo majina hayafuati utaratibj wetu, hata dadake au binti wa Museven ana majina tofauti na wazazi na ndugu yake hiyu chizi fresh
Kaunerugaba ni mtoto wa Museveni ila mama yake siyo Janet Museveni. Janet kamlea tuLabda ni litoto la kambo , hata mimi nishawahi kuuliza why majina yamechengana hivyo na ya Museveni ? , Hili litoto ni spoiled na majina ni tofauti na ya Museveni , halafu ndio wanaliandaa kuwa mrithi wa Museveni ,
Mdogo wake mmoja na Museveni anaitwa Retired Brigadier Salim Salehe!Nchi zingine mtoto anapozaliwa upewa majina mawili yasiyo na ubini wa baba.
Sasa mbona hamna jina la kaguta ,yoweri au Museveni kwenye majina yake huyo kubwa jinga?Kaunerugaba ni mtoto wa Museveni ila mama yake siyo Janet Museveni. Janet kamlea tu
Wakati jina lake halisi anaitwa Caleb AkandwanahoMdogo wake mmoja na Museveni anaitwa Retired Brigadier Salim Salehe!
Ni tekiniki tu ya Museveni ya mambo yake ya poriniSasa mbona hamna jina la kaguta ,yoweri au Museveni kwenye majina yake huyo kubwa jinga?
Kainerugaba hilo jina la nani ?