Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

ukiwa tayari ni cheki ata kama unatani elf 1 tunapeleka india ivyo tuna hitaji za kutosha
 
Mimi mdau Wa ufuta nahitaji kujua dar bei zenu zikoje.... Navuna mwezi Wa 7
 
habari wakuu nahitaji msaada wa maelekezo ya kilimo cha dengu nitashukuru kama nitajuzwa yafuatayo.
1. mbegu zinapatikanaje na garama ipoje?
2. pia muda gani na aina gani ya ardhi inafaa kwa kilimo hicho?
3. masoko yake yapoje na bei ya kilogram moja ipoje na pia nini cha kufanya ili kuiuza nje ya nchi? maana nasikia wahindi wanaihitaji saaana huko kwao.

nitashukuru sana kama nitapatiwa maelekezo hayo na pia nipo tayari hata kulipia garama as consultation fee.
asanteni sana
 
Dengu na Choroko wanahitaji sana... Information is wealth than money it self. Tunaomba mawazo jamani...
 
Dengu na Choroko wanahitaji sana... Information is wealth than money it self. Tunaomba mawazo jamani...

sisi na kampuni yetu tupo serius sana katika hili na tunajipanga kufanya kilimo cha kisasa cha dengu hivyo basi tutashukuru kama tutapatiwa maelezo sahihi kwa anaejua na pia bado nasisitiza tupo tayari hata kulipia garama za consultations.
 
Back
Top Bottom