Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

India kuna soko kubwa sana tafuta wanaosafirisha kwenda huko. Ulipoanza Kilimo ulishaangalia changamoto pamoja na soko?
 
Sasa wewe unalima bila kujua soko la unachokilima!

Sijui umelimia mkoa gani, ila kama ni mikoa ya kanda ya ziwa mara nyingi wanunuzi huwa wanazifuata shambani
 
Ila jihadhari na matapeli wanaweza kubeba tan zote ukaishia kulima tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bishara hata siku moja usiuze mzigo wote kwa pamoja. Unauza kidogo. Unauza tani mbili pesa ikiingia,unauza mbili tena nk. At least gawanya into five portions. Hata wewe uponunua kitu kinachogawanyika ni bora ununue kidogo kidogo ili kupunguza risk...
 
Nani kakudanganya?
 
Habari ndugu zangu
Naitwa Oscar Emmanuel
Mimi Ni Mkulima/mjasiriamali.
Nimelima zao la ndengu na kwa sasa natafuta soko.
Nimevuna tani 14 na bado Dengu nyingi IPO shambani.
Naombeni msaada wenu kwenye masoko.
Kwa mawasiliano.
0687701364
Uko mkoa gani mkuu?
 
Unakosea sana kulima bila kujua soko lipoje
 
Soko ni kubwa sana,kuna wanunuzi wanaosafirisha nje ya nchi na wananunua kwa being nzuri,unless kama unataka wewe mwenyewe uuze nje ya nchi,lakini huo ni mzigo kidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani soko kubwa ni India

Kwani dengu kwa kiingeleza inaitwaje
 
Back
Top Bottom