ngoshaboy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 231
- 197
Ila jihadhari na matapeli wanaweza kubeba tan zote ukaishia kulima tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndo wanazo tengenezea biscuits hizo dengu..??
Bishara hata siku moja usiuze mzigo wote kwa pamoja. Unauza kidogo. Unauza tani mbili pesa ikiingia,unauza mbili tena nk. At least gawanya into five portions. Hata wewe uponunua kitu kinachogawanyika ni bora ununue kidogo kidogo ili kupunguza risk...Ila jihadhari na matapeli wanaweza kubeba tan zote ukaishia kulima tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya?Bishara hata siku moja usiuze mzigo wote kwa pamoja. Unauza kidogo. Unauza tani mbili pesa ikiingia,unauza mbili tena nk. At least gawanya into five portions. Hata wewe uponunua kitu kinachogawanyika ni bora ununue kidogo kidogo ili kupunguza risk...
Uko mkoa gani mkuu?Habari ndugu zangu
Naitwa Oscar Emmanuel
Mimi Ni Mkulima/mjasiriamali.
Nimelima zao la ndengu na kwa sasa natafuta soko.
Nimevuna tani 14 na bado Dengu nyingi IPO shambani.
Naombeni msaada wenu kwenye masoko.
Kwa mawasiliano.
0687701364
Nenda grain councilNipo Dar es salaam kwa sasa .
Nimetokea ITIGI
Upo wapi mkoa??Habari ndugu zangu
Naitwa Oscar Emmanuel
Mimi Ni Mkulima/mjasiriamali.
Nimelima zao la ndengu na kwa sasa natafuta soko.
Nimevuna tani 14 na bado Dengu nyingi IPO shambani.
Naombeni msaada wenu kwenye masoko.
Kwa mawasiliano.
0687701364
KibaravumbaKibaravumbaSoko ni kubwa sana,kuna wanunuzi wanaosafirisha nje ya nchi na wananunua kwa being nzuri,unless kama unataka wewe mwenyewe uuze nje ya nchi,lakini huo ni mzigo kidogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni sehemu wananunua elf ,2000 kwa DSM?1 Kg = Tsh 2,000
1 Ton= 1,000 Kg
14 Ton=14,000 Kg
14,000 Kg= Tsh 28,000,000
Habari wadau?Habari Yako Mtoa Mada..
vipi kuhusu hiki kilimo, je ulikifanya, nini matokeo yake, tupe mrejesho