Muhudumu wa Bar alivyowaabisha jamaa wa "mupe muruke, mupe muruke"

Nakumbuka na mm siku moja ilikua jmos mida ya jioni,niko zangu maskani nimetulia nikapigiwa simu na rafik yangu (mwanamke) akanambia yuko tips na rafk zake wawili,mmoja ni mshkaji mwingine ni dem,akanambia kama vipi ni wa join,nikaona poa sabab ilikua ni weekend nikasema acha na mm nikapige mbili tatu,but nilikua na hela yangu mfukoni,mana mchana yake nilikua nimetoka zangu town nimepiga mshindo wangu kama m5 na point..
Nikachomoa hapo kama m2 ivi nikawasha ki crown changu huyoo mpaka tips..
Nikampigia yule bibie nimefika akanielekeza alipokaa basi nikaenda pale na mm nikavuta kiti nikakaa,so nikawa nipo mm wale madem wawili na huyo mshkaji nlomkuta nao so tukawa tupo wanne..
Story zikaanza ila jamaa akawa anajifanya yy ndo yy na anajiona boss,basi bana akamuita muhudumu akamwambia lete Heineken 6,yaani wale madem wapewe mbili mbili na yy mbili jumla sita,mm nikaagiza redbull,na nilikua najilipia pale nafkiri Heineken ilikua ni kama elf 7 hivi..kwa hiyo jamaa akawa anajiona yy ndo kidume baada ya kuagiza redbull jamaa alitoa kauli moja iliyonikera na kuniuma sana jamaa alisema pesa zangu nanunulia hawa madem bia tu,sina hela ya kumnunulia mwanaume bia,daa nikajiskia kufedheheka sana,bas ile redbull nikailipia ila nikasema siwez kukubal huyu mpuuzi anikejel kiasi hiki kumbuka hapo nlikua na kama m2 zipo kwenye gari basi,nikatoka zangu nikaenda kwenye gari nikachomoa kama m1 hivi nikarudi pale nikawa nimetulia nikawa naongea na yule dem ambae ndo aliniita pale,bas baada ya kama dk4 ivi nikamuita muhudumu nikamwambia lete belaire 3.. Najua mazijua vizur belaire zile diamond alikua anazipigia sana debe.. nikamwambia lete tatu nikajinunulia mm na wale madem kumbuka belaire moja pale walikua wanauza laki3 so jumla laki 9,nikazama mfukoni nikatoa bunda nikachomoa hapo laki 9 moja nikairudisha mfukoni,yule jamaa macho yalimtoka sana,zarau zake zilimponza hakika alinyanyasika sana..kilichonifanya nitumie ile laki 9 ni ile kauli ya jamaa,mana jamaa alijua nimeenda pale namtegemea aninunulie bia kumbe wala hata sinaga habar za kutegemea bia za kununuliwa..so usimdharau usie mjua ukamchkulia mtu poa...
 
Kwahiyo mzee ukatumia Laki 9 ili kumkomoa jamaa.!!!!!!

Aise..
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yao saafi sana.

Hasira zimekufanya utoboke, dharau.zinakera sana
 
Jamaa hakuongea tena mana alitamani akimbie ndo hivo akawa hawezi ikabid avumilie shoo ya mwanaume,mana alionyesha jeur pasipokujua mm niko vp ..
Na mwisho wa siku nikampa lifti mana walienda na uber
 
Sema jamaa jana ulituinyeshea zalau sana na huyo muuzaji wako.

Mimi ni yule niliyekuwa kafupi kidogo nazani umenikumbuka
 
Wewe jamaa ni jinga la majinga kama jingalao
 
Naomba ujisalimishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako.
Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma Yaani shule hazina madawati harafu wewe unatumia fedha kubwa kununua pombe.

Wahi Polisi jamii haraka
 
Jamaa hakuongea tena mana alitamani akimbie ndo hivo akawa hawezi ikabid avumilie shoo ya mwanaume,mana alionyesha jeur pasipokujua mm niko vp ..
Na mwisho wa siku nikampa lifti mana walienda na uber
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Sema jamaa jana ulituinyeshea zalau sana na huyo muuzaji wako.

Mimi ni yule niliyekuwa kafupi kidogo nazani umenikumbuka
Duh! Mkome maringo na visendo vyenu kamametoka kuoga [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Naomba ujisalimishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako.
Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma Yaani shule hazina madawati harafu wewe unatumia fedha kubwa kununua pombe.

Wahi Polisi jamii haraka
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna watu wanakeraga sana we hujui tu
 
Back
Top Bottom