Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Labda alikuwa sio pisi kaliSema mkuu hukujiongeza tu,ilitakiwa huyo muhudumu umsubiri afunge ukajilie zako tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alikuwa sio pisi kaliSema mkuu hukujiongeza tu,ilitakiwa huyo muhudumu umsubiri afunge ukajilie zako tu.
Vile visendo vya vimikanda kandaNdio stahili zao aisee kama uliwaona miguuni wana visendo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo mzee ukatumia Laki 9 ili kumkomoa jamaa.!!!!!!Nakumbuka na mm siku moja ilikua jmos mida ya jioni,niko zangu maskani nimetulia nikapigiwa simu na rafik yangu (mwanamke) akanambia yuko tips na rafk zake wawili,mmoja ni mshkaji mwingine ni dem,akanambia kama vipi ni wa join,nikaona poa sabab ilikua ni weekend nikasema acha na mm nikapige mbili tatu,but nilikua na hela yangu mfukoni,mana mchana yake nilikua nimetoka zangu town nimepiga mshindo wangu kama m5 na point..
Nikachomoa hapo kama m2 ivi nikawasha ki crown changu huyoo mpaka tips..
Nikampigia yule bibie nimefika akanielekeza alipokaa basi nikaenda pale na mm nikavuta kiti nikakaa,so nikawa nipo mm wale madem wawili na huyo mshkaji nlomkuta nao so tukawa tupo wanne..
Story zikaanza ila jamaa akawa anajifanya yy ndo yy na anajiona boss,basi bana akamuita muhudumu akamwambia lete Heineken 6,yaani wale madem wapewe mbili mbili na yy mbili jumla sita,mm nikaagiza redbull,na nilikua najilipia pale nafkiri Heineken ilikua ni kama elf 7 hivi..kwa hiyo jamaa akawa anajiona yy ndo kidume baada ya kuagiza redbull jamaa alitoa kauli moja iliyonikera na kuniuma sana jamaa alisema pesa zangu nanunulia hawa madem bia tu,sina hela ya kumnunulia mwanaume bia,daa nikajiskia kufedheheka sana,bas ile redbull nikailipia ila nikasema siwez kukubal huyu mpuuzi anikejel kiasi hiki kumbuka hapo nlikua na kama m2 zipo kwenye gari basi,nikatoka zangu nikaenda kwenye gari nikachomoa kama m1 hivi nikarudi pale nikawa nimetulia nikawa naongea na yule dem ambae ndo aliniita pale,bas baada ya kama dk4 ivi nikamuita muhudumu nikamwambia lete belaire 3.. Najua mazijua vizur belaire zile diamond alikua anazipigia sana debe.. nikamwambia lete tatu nikajinunulia mm na wale madem kumbuka belaire moja pale walikua wanauza laki3 so jumla laki 9,nikazama mfukoni nikatoa bunda nikachomoa hapo laki 9 moja nikairudisha mfukoni,yule jamaa macho yalimtoka sana,zarau zake zilimponza hakika alinyanyasika sana..kilichonifanya nitumie ile laki 9 ni ile kauli ya jamaa,mana jamaa alijua nimeenda pale namtegemea aninunulie bia kumbe wala hata sinaga habar za kutegemea bia za kununuliwa..so usimdharau usie mjua ukamchkulia mtu poa...
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yao saafi sana.Nakumbuka na mm siku moja ilikua jmos mida ya jioni,niko zangu maskani nimetulia nikapigiwa simu na rafik yangu (mwanamke) akanambia yuko tips na rafk zake wawili,mmoja ni mshkaji mwingine ni dem,akanambia kama vipi ni wa join,nikaona poa sabab ilikua ni weekend nikasema acha na mm nikapige mbili tatu,but nilikua na hela yangu mfukoni,mana mchana yake nilikua nimetoka zangu town nimepiga mshindo wangu kama m5 na point..
Nikachomoa hapo kama m2 ivi nikawasha ki crown changu huyoo mpaka tips..
Nikampigia yule bibie nimefika akanielekeza alipokaa basi nikaenda pale na mm nikavuta kiti nikakaa,so nikawa nipo mm wale madem wawili na huyo mshkaji nlomkuta nao so tukawa tupo wanne..
Story zikaanza ila jamaa akawa anajifanya yy ndo yy na anajiona boss,basi bana akamuita muhudumu akamwambia lete Heineken 6,yaani wale madem wapewe mbili mbili na yy mbili jumla sita,mm nikaagiza redbull,na nilikua najilipia pale nafkiri Heineken ilikua ni kama elf 7 hivi..kwa hiyo jamaa akawa anajiona yy ndo kidume baada ya kuagiza redbull jamaa alitoa kauli moja iliyonikera na kuniuma sana jamaa alisema pesa zangu nanunulia hawa madem bia tu,sina hela ya kumnunulia mwanaume bia,daa nikajiskia kufedheheka sana,bas ile redbull nikailipia ila nikasema siwez kukubal huyu mpuuzi anikejel kiasi hiki kumbuka hapo nlikua na kama m2 zipo kwenye gari basi,nikatoka zangu nikaenda kwenye gari nikachomoa kama m1 hivi nikarudi pale nikawa nimetulia nikawa naongea na yule dem ambae ndo aliniita pale,bas baada ya kama dk4 ivi nikamuita muhudumu nikamwambia lete belaire 3.. Najua mazijua vizur belaire zile diamond alikua anazipigia sana debe.. nikamwambia lete tatu nikajinunulia mm na wale madem kumbuka belaire moja pale walikua wanauza laki3 so jumla laki 9,nikazama mfukoni nikatoa bunda nikachomoa hapo laki 9 moja nikairudisha mfukoni,yule jamaa macho yalimtoka sana,zarau zake zilimponza hakika alinyanyasika sana..kilichonifanya nitumie ile laki 9 ni ile kauli ya jamaa,mana jamaa alijua nimeenda pale namtegemea aninunulie bia kumbe wala hata sinaga habar za kutegemea bia za kununuliwa..so usimdharau usie mjua ukamchkulia mtu poa...
Sikua na namna japo nilipasuka sana nikasema wacha nimtie adabu...Kwahiyo mzee ukatumia Laki 9 ili kumkomoa jamaa.!!!!!!
Aise..
Jamaa hakuongea tena mana alitamani akimbie ndo hivo akawa hawezi ikabid avumilie shoo ya mwanaume,mana alionyesha jeur pasipokujua mm niko vp ..[emoji1756][emoji1756][emoji1756] dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yao saafi sana.
Hasira zimekufanya utoboke, dharau.zinakera sana
Wewe jamaa ni jinga la majinga kama jingalaoNakumbuka na mm siku moja ilikua jmos mida ya jioni,niko zangu maskani nimetulia nikapigiwa simu na rafik yangu (mwanamke) akanambia yuko tips na rafk zake wawili,mmoja ni mshkaji mwingine ni dem,akanambia kama vipi ni wa join,nikaona poa sabab ilikua ni weekend nikasema acha na mm nikapige mbili tatu,but nilikua na hela yangu mfukoni,mana mchana yake nilikua nimetoka zangu town nimepiga mshindo wangu kama m5 na point..
Nikachomoa hapo kama m2 ivi nikawasha ki crown changu huyoo mpaka tips..
Nikampigia yule bibie nimefika akanielekeza alipokaa basi nikaenda pale na mm nikavuta kiti nikakaa,so nikawa nipo mm wale madem wawili na huyo mshkaji nlomkuta nao so tukawa tupo wanne..
Story zikaanza ila jamaa akawa anajifanya yy ndo yy na anajiona boss,basi bana akamuita muhudumu akamwambia lete Heineken 6,yaani wale madem wapewe mbili mbili na yy mbili jumla sita,mm nikaagiza redbull,na nilikua najilipia pale nafkiri Heineken ilikua ni kama elf 7 hivi..kwa hiyo jamaa akawa anajiona yy ndo kidume baada ya kuagiza redbull jamaa alitoa kauli moja iliyonikera na kuniuma sana jamaa alisema pesa zangu nanunulia hawa madem bia tu,sina hela ya kumnunulia mwanaume bia,daa nikajiskia kufedheheka sana,bas ile redbull nikailipia ila nikasema siwez kukubal huyu mpuuzi anikejel kiasi hiki kumbuka hapo nlikua na kama m2 zipo kwenye gari basi,nikatoka zangu nikaenda kwenye gari nikachomoa kama m1 hivi nikarudi pale nikawa nimetulia nikawa naongea na yule dem ambae ndo aliniita pale,bas baada ya kama dk4 ivi nikamuita muhudumu nikamwambia lete belaire 3.. Najua mazijua vizur belaire zile diamond alikua anazipigia sana debe.. nikamwambia lete tatu nikajinunulia mm na wale madem kumbuka belaire moja pale walikua wanauza laki3 so jumla laki 9,nikazama mfukoni nikatoa bunda nikachomoa hapo laki 9 moja nikairudisha mfukoni,yule jamaa macho yalimtoka sana,zarau zake zilimponza hakika alinyanyasika sana..kilichonifanya nitumie ile laki 9 ni ile kauli ya jamaa,mana jamaa alijua nimeenda pale namtegemea aninunulie bia kumbe wala hata sinaga habar za kutegemea bia za kununuliwa..so usimdharau usie mjua ukamchkulia mtu poa...
Naomba ujisalimishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako.Nakumbuka na mm siku moja ilikua jmos mida ya jioni,niko zangu maskani nimetulia nikapigiwa simu na rafik yangu (mwanamke) akanambia yuko tips na rafk zake wawili,mmoja ni mshkaji mwingine ni dem,akanambia kama vipi ni wa join,nikaona poa sabab ilikua ni weekend nikasema acha na mm nikapige mbili tatu,but nilikua na hela yangu mfukoni,mana mchana yake nilikua nimetoka zangu town nimepiga mshindo wangu kama m5 na point..
Nikachomoa hapo kama m2 ivi nikawasha ki crown changu huyoo mpaka tips..
Nikampigia yule bibie nimefika akanielekeza alipokaa basi nikaenda pale na mm nikavuta kiti nikakaa,so nikawa nipo mm wale madem wawili na huyo mshkaji nlomkuta nao so tukawa tupo wanne..
Story zikaanza ila jamaa akawa anajifanya yy ndo yy na anajiona boss,basi bana akamuita muhudumu akamwambia lete Heineken 6,yaani wale madem wapewe mbili mbili na yy mbili jumla sita,mm nikaagiza redbull,na nilikua najilipia pale nafkiri Heineken ilikua ni kama elf 7 hivi..kwa hiyo jamaa akawa anajiona yy ndo kidume baada ya kuagiza redbull jamaa alitoa kauli moja iliyonikera na kuniuma sana jamaa alisema pesa zangu nanunulia hawa madem bia tu,sina hela ya kumnunulia mwanaume bia,daa nikajiskia kufedheheka sana,bas ile redbull nikailipia ila nikasema siwez kukubal huyu mpuuzi anikejel kiasi hiki kumbuka hapo nlikua na kama m2 zipo kwenye gari basi,nikatoka zangu nikaenda kwenye gari nikachomoa kama m1 hivi nikarudi pale nikawa nimetulia nikawa naongea na yule dem ambae ndo aliniita pale,bas baada ya kama dk4 ivi nikamuita muhudumu nikamwambia lete belaire 3.. Najua mazijua vizur belaire zile diamond alikua anazipigia sana debe.. nikamwambia lete tatu nikajinunulia mm na wale madem kumbuka belaire moja pale walikua wanauza laki3 so jumla laki 9,nikazama mfukoni nikatoa bunda nikachomoa hapo laki 9 moja nikairudisha mfukoni,yule jamaa macho yalimtoka sana,zarau zake zilimponza hakika alinyanyasika sana..kilichonifanya nitumie ile laki 9 ni ile kauli ya jamaa,mana jamaa alijua nimeenda pale namtegemea aninunulie bia kumbe wala hata sinaga habar za kutegemea bia za kununuliwa..so usimdharau usie mjua ukamchkulia mtu poa...
...............kuna tunda litaliwa kimasihara!!akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Jamaa hakuongea tena mana alitamani akimbie ndo hivo akawa hawezi ikabid avumilie shoo ya mwanaume,mana alionyesha jeur pasipokujua mm niko vp ..
Na mwisho wa siku nikampa lifti mana walienda na uber
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna watu wanakeraga sana we hujui tuNaomba ujisalimishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako.
Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma Yaani shule hazina madawati harafu wewe unatumia fedha kubwa kununua pombe.
Wahi Polisi jamii haraka
Tutakutana tu tena.Duh! Mkome maringo na visendo vyenu kamametoka kuoga [emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa ndio atumie fedha nyingi hivyo wakati wengine hata za kuweka bundle hatuna.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna watu wanakeraga sana we hujui tu