Limbalangule
Senior Member
- Jun 14, 2023
- 131
- 264
Ujumbe mzuri,inavyotakiwa, usitembee ki-goigoi kama mzee wa umri wa kuanikwa. Pia usipatikane kiholela tu kila kijiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe mzuri,inavyotakiwa, usitembee ki-goigoi kama mzee wa umri wa kuanikwa. Pia usipatikane kiholela tu kila kijiwe
Anaishi na binadamu nyumba moja lakini hajawahi kabisa kumuamini binadamu[emoji2][emoji2] panya yuko mbio muda wote, sijawahi ona panya anatembea kwa pozi
[emoji2] panya yuko mbio muda wote, sijawahi ona panya anatembea kwa pozi
🤣🤣😃 panya yuko mbio muda wote, sijawahi ona panya anatembea kwa pozi
Sawasawa, akimwamini anakufa...Anaishi na binadamu nyumba moja lakini hajawahi kabisa kumuamini binadamu[emoji2]
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Inamaana hata kama nyumba ina paka huyo panya atakaa wapi?Pambana na vikwazo, usivikimbie
Ila ferooz anafanana na panya
Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi.
Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini anafunga mlango, saa ngapi analala anazima taa. Jiko liko usawa upi akajipimie misosi na stoo au dari ni wapi akaandae bed room yake na familia.
Pia anawafunza wanae kutambua chakula kilichodondoka ndio chao, wakiona kisafi, kimenona, juu ya gazeti, huo mtego, wasile! Kwa mtindo panya hunenepa na kuzaliana kizazi hadi kizazi.
Sasa wewe, bosi kakufokea ushawaza kukimbia kazi, mteja kakujibu jeuri, sijui kakopa hajalipa, unataka kufunga biashara. Utakufa NJAA wewee!
Maisha mkuu, mwalimu toshaAsante. Hadithi yako nani kakufundisha?
kama una resouce kama za Simba, hamia msituni. Kama resource kiduchu, muige panyaNafurahia utafutaji wa simba akili nyingi
Anatumia
Hakurupuki
Anapata changamoto lakini hakati tamaa
Simba hali mizoga
Yupo imara
Anajali familia
Katafute wimbo wa Bob Marley unaitwa RAT RACE ...... mbio za panya hekaheka muda wote ....Muda wote race.
Huyu ana tofauti gani na chama che siasa chenye nguvu
Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi.
Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini anafunga mlango, saa ngapi analala anazima taa. Jiko liko usawa upi akajipimie misosi na stoo au dari ni wapi akaandae bed room yake na familia.
Pia anawafunza wanae kutambua chakula kilichodondoka ndio chao, wakiona kisafi, kimenona, juu ya gazeti, huo mtego, wasile! Kwa mtindo huo,panya hunenepa na kuzaliana kizazi hadi kizazi.
Sasa wewe, bosi kakufokea ushawaza kukimbia kazi, mteja kakujibu jeuri, sijui kakopa hajalipa, unataka kufunga biashara. Utakufa NJAA wewee!
Asante eee

Ha hauwezi amini anatembea kwa kudunda dunda.[emoji2] panya yuko mbio muda wote, sijawahi ona panya anatembea kwa pozi
Alafu anatokea mtu ana dai binadamu ni kiumbe mwenye akili kuliko wote[emoji1]Sasa tuanze kumuiga panya!!??
Hakika kama binadamu tumeishiwa maarifa
Kwa hiyo mkuu unatushauri tuishi kwa kuviziana si ndiyo?