Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Wapo vizuri tu mbona, wameshakua watu wazima wanaheshimiana vizuri tu, Hata SRK na Aamir pia wanelewana vizuri tu siku hizi
Sio marafiki wa kupika na kupakua km mwanzo tena japo wanaelewana
 
Hapana ila najua watu wengi tulihis Kajol na SRK ni couple!

Mimi mwenyewe nilijua make na mume
Maneno ya mtaani au udaku wanadai Jamaa Ajay devgan alikuwa anam'maind king khan kuhusu ukaribu wake na kajol.
 
Vibaya mnoooo!halafu kalikuwaga kazuriiiiii kweli kashahid
Kipindi hicho kweli alikuwa mdogo na kasura kake.

Hahaha kwa hiyo alikuwa shahid anavutia sana kwa uwanda wa mahaba...?

Mimi kareen kapoor yupo vyema..
 
Kipindi hicho kweli alikuwa mdogo na kasura kake.

Hahaha kwa hiyo alikuwa shahid anavutia sana kwa uwanda wa mahaba...?

Mimi kareen kapoor yupo vyema..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kareena yupo vzr na ni kazuri
 
Wapo vizuri tu mbona, wameshakua watu wazima wanaheshimiana vizuri tu, Hata SRK na Aamir pia wanelewana vizuri tu siku hizi
Mkuu,kwa hiyo wote hao saizi ni amani tu.

Amir khan huyu jamaa yupo vyema sana.
 
Yaan binadamu bwana,salman aliua mtu hakupewa hukumu hii ila kaua wanyama anatupwa jela miaka yote hio aiseee
Kwa india kama ukigonga ng'ombe unaenda jela miaka mingi sana, au faini kubwa sana, lakini ukigonga binadamu ni faini ndogo tu, inawezekana ni miungu yao.
 
Icho kitu yani ni katika all time Best achana nacho kabisa
Yap yap hii kitu ni moto.

Lakini Kuna filamu ya Akshey Kumar na Sunil shetty na shilpa shetty Nadhani inaitwa "Dhadkan" sidhani kama nimepatia spelling zake lakini ni moja ya filamu bora kabisa kwangu.
 
Ni nzuri mnoo first time naangalia nilitoa mchozi ujue![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Inaitwa hvyo hvyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…