Yap hayupo Kangna kweli kabisaaImeganda iyo film. Kareena na Arjun wamefunika kabisa.
Ila Kangana mbona hakuemo umo au umeichanganya Fashion ya Priyanka?
Wote wababe my favorite actor Ajay devgan kwenye "Khakee"akshay anapigwa risasi na Aishwarya dah chozi lilinitokamzee unaonekanwa mtu action sana ulikua
Wote wababe my favorite actor Ajay devgan kwenye "Khakee"akshay anapigwa risasi na Aishwarya dah chozi lilinitoka
Hata Aishwarya amecheza vizuri achaa tu!Safi sana iyo film. Akshay na Bachchan wamefunika kila kitu humo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] watafurahia nini sasa kuwaimbia au kuwakonyeza?Duuuu napenda movie za salman akiiimba na kukonyeza anafurahisha sana,,walioko jela watafurahiii
Kuna movie moja AJAY alilose memory baada ya kusikia sauti ya wife akazinduka,niliipenda sanaWote wababe my favorite actor Ajay devgan kwenye "Khakee"akshay anapigwa risasi na Aishwarya dah chozi lilinitoka
Hata Aishwarya amecheza vizuri achaa tu!
Yap naikumbukaKuna movie moja AJAY alilose memory baada ya kusikia sauti ya wife akazinduka,niliipenda sana
Hapana sijaiona ila niliona inakua nominated in Filmfare awardsKuna Filamu inaitwa Hindi Medium umeiona?
Kuna Filamu inaitwa Hindi Medium umeiona?
Kuwa pamoja na star siku yao itakuwa nzurii[emoji3] [emoji3] [emoji3] watafurahia nini sasa kuwaimbia au kuwakonyeza?
Hapana sijaiona ila niliona inakua nominated in Filmfare awards
Duh!ntaitafuta aiseehYani ni safi sana iyo filam. imereleased china majuzi inafanya mauzo makubwa sana.
aliua ndioSalman Khan ana majanga, miaka michache ilopita pia si alikua na kesi alimgonga mtu na gari? Sijui aliua.
umenifurahisha kwa kwelmbona midogo sana ?? wangempa ata 20 poa tu ...inakuaje auwe mnyama wakati binadam wapo.
aiseee mimi nibkama mlevi wa Bollywood maana nmejaza Bollywood tu100% nyumbani kwangu ni Bollywood Tu!
kwa ninaowafaham chipukizi ni pamoja na Aryan khan mtoto wa king khanHahaha
vipi kunachipukizi ambao wanaweza kufikia walau ubora wa hawa wakongwe(Sunir shetty,Akshey Kumar,salumn,Khan,sunny deo,boby deo,n.k)..?
Lakini Kuna kipindi cha nyuma salumn na khan walikuwa marafiki sana..? (Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..)
nibwengi sana chipukizi japo akina Sidhart wameanza mda kidogoNilikua njiani kidogoo
Chipukizi ambao ni tishio in
Arjun Kapoor
Sidhart Malhotra
Varun dhawan
Wa kike wamo
Alia Bhat
Disha Patani
Na yupo ameigiza film Pink nimemsahau
nanini mkuu?umenifurahisha kwa kwel