Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Kumbe kumtoa Babu Seya ni kutafuta Kiki eee?
Wasaidiz wa Mkulu mliopo humu chukueni hii kutoka kwa mdau relis

kutafuta kiki ili awe nani wakati yeye ndio top. wanaotafuta kiki ni wachini ili rais awanyanyue. sio rais
 
kumbe mupo, nishakutafuteni sana mie. Tungetafuta threat yetu tukajiachia na mambo ya Bollywood.
Nazipenda mnoo!ndo maana nilinnua azam king'amuzi kwa sababu hyo

Salmaan alimfanyia Rai Vurugu kwenye set ya chalte chalte akihis kua anatoka nae mpk Rai akaondolewa kwenye role yake akapewa Rani Mukhreji
 
John abraham ndio kifaa sasa hivi bollwood.
Kuna muvi kama rocky handsom na shootout at wadala ni shida
 
Ugomvi wao ulianza kama utani vile kwenye birthday ya Katrina Kaif ambae ni ex girlfriend wa Salmaan kwa sasa ambapo SRK alimuongelea Ex girlfriend wake Salmaan Aishwarya Rai Salmaan akachukia wakaanza kutupiana maneno mpk kufikia kupondana kuhusu their reality show ambazo they hosting back then

Salmaan Claimed kwamba show yake ndo inapendwa kuliko ya SRK
Waligombana haswaa since then ule urafiki wao haswaa ukaisha na vyombo vya habari vikakuza beef lao

kumbukumbu zangu ni kua Salman alimuomba Shahrukh afanye apparency kwenye filam yao na ndugu yake kama sikosei ilikua Main aur Mrs Khanna na shahrukh akakataa.
 
kumbukumbu zangu ni kua Salman alimuomba Shahrukh afanye apparency kwenye filam yao na ndugu yake kama sikosei ilikua Main aur Mrs Khanna na shahrukh akakataa.
Zote hizo ni sababu za ugomvi wao na the film ambayo Salmaan aliomba afanye special appearance kwenye Mrs.Khanna
 
Nilikua njiani kidogoo

Chipukizi ambao ni tishio in

Arjun Kapoor
Sidhart Malhotra
Varun dhawan

Wa kike wamo

Alia Bhat
Disha Patani
Na yupo ameigiza film Pink nimemsahau

Sidhart Malhotra yupo sawa kabisa, Hata Varun jamaa anajitahid. ILa kuna mshakaji anaitwa Fawd Khan jamaa yupo sawa sana.
 
Mi simpendi abhishek na sunil shetty anatoaga udenda!
Sunil [emoji1] [emoji1] [emoji1] ana mwanae wa kike ameigiza anaitwa Athiya Shetty yupo na Suraj Pancholi!(Mtoto wa Aditya Pancholi)

Mi nawapenda wotee
 
kumbe mupo, nishakutafuteni sana mie. Tungetafuta threat yetu tukajiachia na mambo ya Bollywood.
Tupo Mkuu,japo siku zakaribuni nimekuwa mvivu wakufatilia Bollywood movies..

Unaikumbuka hii filamu salumn Khan & king khan.
220px-Karan_Arjun.jpg
 
Zote hizo ni sababu za ugomvi wao na the film ambayo Salmaan aliomba afanye special appearance kwenye Mrs.Khanna

baada ya sharukh kukataa Salman ilmuuma sana, Nakumbuka walikua kwenye party Salman akapiga pombe mpaka alafu akaanza kutoa maneno mbele zawatu, nakumbuka ilikua kijividio unamsikia anasema unajiona Super star anarejea rejea. ndipo shahrukh alipompiga kijembe kuhusu Aishwarya ndiopo salman alipomvamia.
 
Back
Top Bottom