Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

Muigizaji maarufu toka Nollywood (Nigeria) Muna Obiekwe amefariki dunia

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
2042592_ooambassadorbouqieblueblood006oapeventmc461890_jpeg_jpeg900f41ceea816c9950ed96c75751b35b

Binafsi nimeumia sana hii picha imepigwa alivyofikishwa hospital,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu sasa ila hakuwa ametangaza.

2042194_screenshot20150118at8_04_38pm_pngee9f2b6b7c4e63d10214bb2ff7cf5dd7

2041841_munaobiekwe2_jpeg_jpeg083d12f52bf1672ca79d4a6dfe3c4a1c

2041843_munaobiekwe_png2_jpeg72f9dcb0c7dda6f71983b189066a97bd

Kwa wale wana Jamiiforums mnaofatilia movie za Nigeria lazima mtakuwa mnamfahamu,nimeumia sana ila ndio hivyo mipango ya mungu,apumzike mahali pema peponi.
 
Nilikuwa nafuatilia zamani namfahamu jamaa.Mungu amlaze panapostahili

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
huyu jamaa anajua kuigiza,niliacha kufuatilia movies zake baada ya kuona movie moja anaigiza akiliwa tigo,kuanzia hapo sikutaka kujua kuhusu huyu jamaa.

R.I.P

Si alikua anaigiza.....

RIP MUNNA
 
haaaaah......jamani yule kakaaaah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata jana usiku walikuwa wanaonyesha movie zake Afrikan Magic
 
huyu jamaa anajua kuigiza,niliacha kufuatilia movies zake baada ya kuona movie moja anaigiza akiliwa tigo,kuanzia hapo sikutaka kujua kuhusu huyu jamaa.

R.I.P

Wewe ujui nini maana ya maigizo sababu ya ignorance,acha kabisa kuangalia movie
 
Wewe ujui nini maana ya maigizo sababu ya ignorance,acha kabisa kuangalia movie

aisee kipengele ya kuigiza kuliwa tigo hata kama ni kuigiza nisamehe tu,huwa ikitokea kitu kama hicho sifuatilii tena movie
 
aisee kipengele ya kuigiza kuliwa tigo hata kama ni kuigiza nisamehe tu,huwa ikitokea kitu kama hicho sifuatilii tena movie

Tupe jina la movie wabongo mnaongeza sana chumvii
 
Tupe jina la movie wabongo mnaongeza sana chumvii

we umeleta thread kuhusu huyo jamaa,that was bad news,sasa hata hujui movie aliyoigiza analiwa tigo?(maigizo)
hata hujui movie,kama wabongo tunaongeza chumvi basi we mlatino
 
ni uwongo hajafariki amekanusha kule twiter na Insta wabongo bana kwa uzushi mnapenda sana kuua watu
 
Back
Top Bottom