Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
DMX Manager Denies Latest Death Rumors, Says Rapper's Family Will Make Statement Friday
DMX remained in a coma at a New York hospital on Wednesday after he suffered a heart attack last week.www.nbcnewyork.com
Pamoja na JADA KISSEVE hatamsahau mchizi
R.I.PView attachment 1747768
DMX ambaye jina lake la kuzaliwa ni Earl Simmons amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 50
- Mnamo tarehe 3 April 2021 lilazwa katika hospital ya White Plains Jijini New York ikielezwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na shambulio la moyo
Nimeumia sana kwasababu napenda Hip Hop pia nampenda sana DMX!
Due to overdose.Mnaodai ni drug overdose mmetoa wapi hiyo habari? Maana media outlet zote zinasema ni heart attack sasa nyie tuambieni mmetoa wapi hizo taarifa.
Maana wenzetu huwa hawana unafki wala hawewezi kuficha ukweli kama ingekuwa ni overdose wangesema.
DMX Dead at 50 a Week After Star Suffered Heart Attack: 'A Warrior Who Fought Till the Very End'
The Grammy-nominated star was hospitalized last Fridaypeople.com
Toka last week hii habari inavuma sana mkuuMnaodai ni drug overdose mmetoa wapi hiyo habari? Maana media outlet zote zinasema ni heart attack sasa nyie tuambieni mmetoa wapi hizo taarifa.
Maana wenzetu huwa hawana unafki wala hawewezi kuficha ukweli kama ingekuwa ni overdose wangesema.
DMX Dead at 50 a Week After Star Suffered Heart Attack: 'A Warrior Who Fought Till the Very End'
The Grammy-nominated star was hospitalized last Fridaypeople.com
kweli kabisa, nakumbuka enzi hizo, hivi ule wimbo wa GK na TID unaitwa tutakukumbuka, ni wa msiba , walimuimbia nani ? maana ina sound kama true storyGK wa east coast team ndio alikuwa anafanya rapping kama ya DMX. Unakumbuka mkuu?
Fame+cash money+drugs= deathHivi kuna uhusiano gani kati ya hip hop
Na matumizi ya madawa ya kulevya ??
Yani utaja note artist wengi sio hip hop tu hata genre zingine wanatumbukia kwenye hili janga.
Wengi unakuta washawahi shika pesa ndefu sanaa...
Angalia yule producer makini sana Scotts Storch jamaa alikua mkali vibaya mnooo ila akaingia kwenye hili janga.
Wengi sanaa.
KUNA SIRI GANI BEHIND ??
Hapa bongo kwenyewe acha nikae kimya tu.
SHIDA SANA.
Daah
R.I.P Dar Man X (DMX)
Nlikua namkubali sana jamaa huyu.
Hivi kuna uhusiano gani kati ya hip hop

Swizz Beat atakuwa kwny hali mbaya sna
Dah hivi hawa jamaa hawaonagi utamu wa mbususu mpaka wanaenda kwenye madawa?Drugs Overdose