TANZIA Muigizaji na Rappa, Earl Simmons maarufu DMX amefariki Dunia akiwa na miaka 50

TANZIA Muigizaji na Rappa, Earl Simmons maarufu DMX amefariki Dunia akiwa na miaka 50

Nmemjulia kwenye wimbo wake wa What these Bit-hes want from a nigga?? kukawa na challenge flani waliita DMX CHALLENGE...

There was Brenda, LaTisha, Linda, Felicia
Dawn, LeShaun, Ines, and Alicia
Teresa, Monica, Sharron, Nicki
Lisa,, well I met her in a ice cream parlor
Tonya, Diane, Lori and Carla
Marina,Selena,Katrina ,Sabrina
About three Kim's LaToya, and Tina

Apumzike kwa amani[emoji120]
 
bitct wht u want for me niggga!!
yuko na tyrese ile pini hatari fire kikuuumaa
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya hip hop
Na matumizi ya madawa ya kulevya ??

Yani utaja note artist wengi sio hip hop tu hata genre zingine wanatumbukia kwenye hili janga.

Wengi unakuta washawahi shika pesa ndefu sanaa...

Angalia yule producer makini sana Scotts Storch jamaa alikua mkali vibaya mnooo ila akaingia kwenye hili janga.

Wengi sanaa.

KUNA SIRI GANI BEHIND ??

Hapa bongo kwenyewe acha nikae kimya tu.
SHIDA SANA.
Daah

R.I.P Dark Man X (DMX)

Nlikua namkubali sana jamaa huyu.
 
R.I.P Dar Man X (DMX)

Nlikua namkubali sana jamaa huyu.
Fame+cash money+drugs= death
 
Mkuu hawa watu Maarufu wana mambo mengi sana yanawasumbua wakati mwingine wanaingia kwa tamaa,wakati mwingine wanaingia kwa vishawishi,wakati mwingine wanaingia kuondoa Uchovu/stress.

Yaani kwenye Madawa zipo njia nyingi za kuingia lakini zipo njia chache za kutoka mtu akiwa mzima.
 
Back
Top Bottom