TANZIA Muigizaji na Rappa, Earl Simmons maarufu DMX amefariki Dunia akiwa na miaka 50

Hawa jamaa nilikuwaga nawasikiliza zamani nikiwa mashuleni enzi hizo,wanaharibu akili Sana,faida iliyopo labda n kujua kingereza tu kwa hilo walinisaidia,lakini asilimia kubwa wanachafua mindset za vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…