TANZIA Muigizaji na Rappa, Earl Simmons maarufu DMX amefariki Dunia akiwa na miaka 50

TANZIA Muigizaji na Rappa, Earl Simmons maarufu DMX amefariki Dunia akiwa na miaka 50

R.I.P mwamba sisi tuli enjoy mziki wako enzi hizo miaka ya 90.....
 
GK alifanana nae tu sura, but kibongo bongo aliekua akimpatia DMX ni mshikaji mmoja aliitwa Ommy G.

Tafuta wimbo wa Kindumbwe ndumbwe akiimba na Pig Black. Nyimbo yoyote ya Free Dog Camp (FDC) usikie michano ya Ommy G
Wewe Mzee rudi Wastaarabu
 
Weng wanashindwa kutofautisha nymbo za dmx,sisqo .ginuwine na ludacris
Sijui kwann
 
DMX yawezekana alikua rappa mzuri yaani maana ya freestyle,flows, but mashairi yake mepesi Sana

Nyimbo mwanzo Hadi mwisho Ni "niggas" ,fvcking" ,"shit" what the hell.

Ndio maana huwa wanfilisika wakishameki mkwanja .

Fatilia nyimbo za JayZ kuanzia 2010 kuja juu anaongea vitu sensible na lugha ya gheto kaipunguza ndio maana mziki wake unakubalika na kada zote sio ajabu kuwa bilionea wakati wenzeka analioanza nao gamu bado wanastrugle na unga,mademu,guns killing na makorokocho mengine

JayZ anaweza hata pewa podium/platform katika democratic convention atoe neno ,Ila watu dizaini ya akina DMX wale ambao full time wao Ni "niggaz" shit, fvcking hawawezi pewa.

Hip-hop Yao imekaa kigheto zaidi watu washahama huko Wana modernize hip-hop ndio kila siku wanachuku mi grammy.mfano JayZ ,Kanye west ,Drake, Kendrick Lamar na wengineo.

Niggaz should change.
 
Back
Top Bottom