Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Hawa ndio walikuwa miamba ya bollywood hapa neetu Singh yaani mule mule ukianzia zeenat aman hapa hema malin kule shaban azim minaksh reena Roy haya yalikuwa maua ya bollywood
Mkuu umenigusa has a hapo ulipo mtaja Hema Malin. Huyu nadhani Best Actress of all time kule Bollywood. Alikuwa akilia anazidi kuwa mrembo sana.
 
Mkuu umenigusa has a hapo ulipo mtaja Hema Malin. Huyu nadhani Best Actress of all time kule Bollywood. Alikuwa akilia anazidi kuwa mrembo sana.
Tazama sholay pindi analazimishwa kucheza juu ya mwamba ulomwagiwa vipande vya chupa nae tuko peku hiyo scene huwa inahuzunisha kama kweli
 
Haswa mkuu,,,picha ya kihindi zamani MASAA 3..lazima star aanzie mdogo...Bonge la movie kama AMAR AKBAR ANTONY...amita bachan,,,rish KAPOOR na mmoja nimesahau....wanazaliwa halafu wanapoteana wakiwa WADOGO,,kila mtu analelewa kivyake..baadae wanazinguana kumbe ndugu..wanakumbukana....hayo masongi ni NYOKO..na hizo HARAMSADEE...ndy komesha

Sent using Jamii Forums mobile app
YAYAA YAYAA YAYAA-Govinda

Karan Arjun

Badshah

Loha
 
Haswa mkuu,,,picha ya kihindi zamani MASAA 3..lazima star aanzie mdogo...Bonge la movie kama AMAR AKBAR ANTONY...amita bachan,,,rish KAPOOR na mmoja nimesahau....wanazaliwa halafu wanapoteana wakiwa WADOGO,,kila mtu analelewa kivyake..baadae wanazinguana kumbe ndugu..wanakumbukana....hayo masongi ni NYOKO..na hizo HARAMSADEE...ndy komesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah walipoteana vinnod khan amitha na rish mmoja alikuwa mhindu (Hinduism )mwingine mkristu na mwingine Islamic ndo khaswa kuwa Amar akbar Anthony humo mabibi hawa neetu singh parveen babi na shabana azim walifanya yao bila kumsahau zee plan mtu wa mitikasi waqt kama chale (comedy )mara mtu wa kazi kifupi mipango mingi
 
R.I.P

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Yaah walipoteana vinnod khan amitha na rish mmoja alikuwa mhindu (Hinduism )mwingine mkristu na mwingine Islamic ndo khaswa kuwa Amar akbar Anthony humo mabibi hawa neetu singh parveen babi na shabana azim walifanya yao bila kumsahau zee plan mtu wa mitikasi waqt kama chale (comedy )mara mtu wa kazi kifupi mipango mingi
Story nzr sana ,,na IPO picha moja ya amitabach na RISH KAPOOR,, baba yao alikuwa na Mali lakini baba yao mdogo anawazulumu baada ya baba yao kuuawa wakiwa WADOGO,,wananyanyasika sn hadi AMITAH anajiunga kwny kundi la baba yake mdogo bila kujuwa ni baba yake mdogo na ndy aliyemuua baba yao na. ndy aliyowafanya wakawa masikini,,AMITAH anachukuwa jukumu LA kulea familia mama na mdogo wake,,,,na kumsomesha RISH KAPOOR,, baadae RISH anajiunga na police,,, anakuwa mnoko sana kwa AMITAH,, mwisho AMITAH anatakiwa kukamatwa na Jeshi la police kwa matukio ya ujambazi na kuuza madawa,,baadae anaasi kundi la baba yake mdogo baada ya kujuwa kwamba ndy aliyemuua baba yao..aisee movie hatari sn,,nimesahau jina niliiona mwaka 1990...HARAMSADEE KIBAO..AMITAH fully RAY BAN.....jicho humwoni....hakika AMITAH kwangu ndy star wa muda wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati UKUTA mkuu,,,,ukishindana nao utaumia mwenyewe....nakumbuka hizo picha nilikuwa naangalia KWENYE CINEMA HALL. ,baada ya cinema hall kufa miaka ya 88 nikawa bingwa wankuangalia video kwa WAARABU Fulani pale Morocco hotel magomeni..nakumbuka ILIKUWA tunalipa 10 shilling kwa movie moja....aisee siku hazigandi mkuu...ILIKUWA tunaangalia movie za kihindi MAADUI KATILI kama DENI ZOMPA,,,KADER KHAN,,AMJED KHAN,,SHAKTI KAPOOR,,AMRISH POOR,,PRAN CHOPRA,,,hao watu wakiigiaza ADUI ni NYOKO MKUU.. sasa ufurahi ADUI awe AMJED KHAN,,staring AMITAH BACHAN....au ADUI awe AMRISH POOR star awe DHARMENDRA..lazima afe na ADUI...siku hizi madirector sijuwi wamekwenda wapi,, siwaelewi picha zao,,,ENZI HIZO LAZIMA USIKIE haramsadeeeeee..,....ujuwe star mmoja anakufa na ADUI...

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisaa!wahindi kwa sasa hawana movie mtu ambae anajitahidi kidogo kwa sasa kidogo Ni Salmaan Khan na Hrithik Roshan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswa mkuu,,,picha ya kihindi zamani MASAA 3..lazima star aanzie mdogo...Bonge la movie kama AMAR AKBAR ANTONY...amita bachan,,,rish KAPOOR na mmoja nimesahau....wanazaliwa halafu wanapoteana wakiwa WADOGO,,kila mtu analelewa kivyake..baadae wanazinguana kumbe ndugu..wanakumbukana....hayo masongi ni NYOKO..na hizo HARAMSADEE...ndy komesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwepo Vinod Khanna amekufa Mwanawe anaitwa Akshay Khanna hajui kama baba yake lakini!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom