Wakati UKUTA mkuu,,,,ukishindana nao utaumia mwenyewe....nakumbuka hizo picha nilikuwa naangalia KWENYE CINEMA HALL. ,baada ya cinema hall kufa miaka ya 88 nikawa bingwa wankuangalia video kwa WAARABU Fulani pale Morocco hotel magomeni..nakumbuka ILIKUWA tunalipa 10 shilling kwa movie moja....aisee siku hazigandi mkuu...ILIKUWA tunaangalia movie za kihindi MAADUI KATILI kama DENI ZOMPA,,,KADER KHAN,,AMJED KHAN,,SHAKTI KAPOOR,,AMRISH POOR,,PRAN CHOPRA,,,hao watu wakiigiaza ADUI ni NYOKO MKUU.. sasa ufurahi ADUI awe AMJED KHAN,,staring AMITAH BACHAN....au ADUI awe AMRISH POOR star awe DHARMENDRA..lazima afe na ADUI...siku hizi madirector sijuwi wamekwenda wapi,, siwaelewi picha zao,,,ENZI HIZO LAZIMA USIKIE haramsadeeeeee..,....ujuwe star mmoja anakufa na ADUI...
Sent using
Jamii Forums mobile app