The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Bro achana na Bela tuna kazi ya kulikomboa Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mmoja anaitwa wabeja wa beya ana mzigoo hatari nikakutana nae maeneo tataAnywa sio huyu namwongelewa
Ni mwanakaya mwimbaji mzuri mkuu Kanisa Moja la kiloloke na n kanajulikana
Nilitangulia lodge na kazigo changu kana sura mbandiko
Akaja HUYO mwanakwayaa na buzi lake akapewa single
Na mm NKAONA sio shida nikaomba single na kazigo kangu
Kama unaelewa single Haina choo NDAN mkuu na bei n pungufu
Choo mnashare ...nikatoka KWENDA choon nkakutana na mwanakwaya Anatoka choo cha pembeni AMeTOKA kunyooshwa na M23
Nikampa hi akajibu hi
Hamad wanataka na mm natoka na kazigo kangu loh hutukadada kakishika maiki unasikia Kanisa LOTE TUNAPAAA KWENDA mbinguni
In short tulikutana wote wazinzi mkuuu SEHEMU Moja...
Hawa n sawa na wasanii WA mziki ama ma miss wale auko pekeyako we akikupa shukuru kwa wakati wako hui...
Wako romantic sana sana
Ndiyo cute,tulijua amekuja kupata uzima kumbe fungulia mfungwa wa mavazi marefuKumbe ni kweli alikua ostadhat? Lol
Si tatuu Ile kifuani!!👀👀Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.
Nakukemea, Badilika haraka .
Unadhani walokole wa siku hizi ni kama wale wa zamani? Siku hizi wamejanjaruka, tena wamekuwa wajanja kuliko wasiookoka.Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.
Nakukemea, Badilika haraka .
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.
Nakukemea, Badilika haraka .