Muimba wa Gospel Bela Kombo jitafakari, mavazi yako si ya Staha

Muimba wa Gospel Bela Kombo jitafakari, mavazi yako si ya Staha

Anywa sio huyu namwongelewa

Ni mwanakaya mwimbaji mzuri mkuu Kanisa Moja la kiloloke na n kanajulikana

Nilitangulia lodge na kazigo changu kana sura mbandiko

Akaja HUYO mwanakwayaa na buzi lake akapewa single

Na mm NKAONA sio shida nikaomba single na kazigo kangu

Kama unaelewa single Haina choo NDAN mkuu na bei n pungufu

Choo mnashare ...nikatoka KWENDA choon nkakutana na mwanakwaya Anatoka choo cha pembeni AMeTOKA kunyooshwa na M23

Nikampa hi akajibu hi

Hamad wanataka na mm natoka na kazigo kangu loh hutukadada kakishika maiki unasikia Kanisa LOTE TUNAPAAA KWENDA mbinguni

In short tulikutana wote wazinzi mkuuu SEHEMU Moja...

Hawa n sawa na wasanii WA mziki ama ma miss wale auko pekeyako we akikupa shukuru kwa wakati wako hui...

Wako romantic sana sana
kuna mmoja anaitwa wabeja wa beya ana mzigoo hatari nikakutana nae maeneo tata
 
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?

Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.

Nakukemea, Badilika haraka .

Si tatuu Ile kifuani!!👀👀

Hamna mtumishi HAPO
 
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?

Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.

Nakukemea, Badilika haraka .

Unadhani walokole wa siku hizi ni kama wale wa zamani? Siku hizi wamejanjaruka, tena wamekuwa wajanja kuliko wasiookoka.
 
Back
Top Bottom