Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Sawa bwana japo wakiendelea na huo utaratibu (ambao sioni kama ni sawa) kozi zingine hazitakuja kutoa mwanafunzi bora hadi Yesu arudi au labda chuo kifanye tu maarifa kwa ajili ya kuhamasisha watu wasome...

Sasa zitatoaje mwanafunzi bora Kama wanafunzi wenyewe hawasomi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nataka kujua course study ya computer science udsm kwenye semester zote

IMG_3317.jpg
 
Unahisi music hauna wataalamu wenye masters na phd.

Walimu wa music wa hapo udsm ama vyuo vikuu vingine hawana elimu ya masters na phd ?

Kozi za music zina scholarships nyingi sana tena za vyuo vikuu bora duniani.

Msanii wa bongo fleva chemical alimaaliza hapo udsm degree ya music amepewa scholarship ya masters na PHD kwenye chuo kikuu kikubwa uingereza.

First class za Degree za engineering hawapati hizo schoraships za vyuo bora vya ulaya na marekani wanaishia kusoma japan , china ama vyuo vya Africa.

Ila hao madogo wa music wanapewa scholarships vyuo vikuu bora vya ulaya na marekani. Wazungu wanapenda sanaa sana

Kama umeelewa ni kwamba wazungu wanahitaji wasanii zaidi kutoka afrika na sio wanasayansi na wavumbuzi,ukimiliki tecnolojia umemiliki ulimwengu.
 
Yani best student anatoka kwenye course ambayo wanafunzi hawana hata notes hawana course work wala assignment? Udsm sio sehemu ambayo mtoto atasimama kimasomo Kikwete akiwa bado ni mkuu wa chuo. Kupiga gitaa na kinanda kukata viuno ndiyo best student NOMA SANA
Hao FPA wanadharaurika sana toka tunasomesha sie in 90s.
Yani best student anatoka kwenye course ambayo wanafunzi hawana hata notes hawana course work wala assignment? Udsm sio sehemu ambayo mtoto atasimama kimasomo Kikwete akiwa bado ni mkuu wa chuo. Kupiga gitaa na kinanda kukata viuno ndiyo best student NOMA SANA
 
Dogo yuko vizuri jamani mziki nao ni mgumu kuna mtu anaona kazi yake ndo ngumu ...mfano tu ww hapo uwekewe kinanda harafu kuna mtu anaimba upige na huyo mtu ajue kufata mdundo wa beat na mianguko na mipando sio kazi ya lelemama
 
Hutasikia anahangaika na bahasha mtaani huyu. Katoka na ajira yake mazima.
 
Back
Top Bottom