Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Tofauti na masomo ya ku share na course nyingine hawana masomo ya maana yoyote embu niambie ni kipimo gani kinatumika kumpa mtu mpiga gitaa au kinanda GPA au kipimo ni ku sample nyimbo za wasanii na kuzirudia kuziimba? Wale hawana masomo ya theory wale wana practice usanii

Angalia hapa
IMG_3314.jpg

IMG_3313.jpg

IMG_3312.jpg
 
Mkuu hujanielewa ngoja nikueleweshe hivi unajua mtoto wa miaka 4 kuendelea unaweza kumfundisha kupiga gitaa na kinanda vizuri kabisa akawa na kipaji kikubwa tuu? Masomo yote hapo ni practical mfano hiyo introduction to Afrika dancing inamana kucheza ngoma za asili sasa kwa akili za kawaida mtu yoyote si anaweza kucheza ngoma za asilia.

Ukisoma hiyo prospectus ya udsm inaonyesha kila kitu ni
theater, definition ya theater ni a building or outdoor area in which plays and other dramatic performances are given.

Hapo kuna notes yoyote utaandika hapo kuna kitabu chochote utasoma? Tofauti na wanafunzi waliosoma coet au law au medicine wanamchango kwenye jamii huyo mpiga kinanda ana impact gani kwani sijawahi amini course ya watu 10 au 15 darasani ikatoa best student NEVER.

Ni kipimo gani mnatumia kutoa maksi na gpa kwa wanafunzi? Kwani hao fine arts hawasomi hata communication skills au DS wala computer skills kama course nyingine hapo wanasoma play, painting, drawing, piano lesson, music, fashion designing kitu ambacho hata mshona cherehani anawashinda, acting nk. Mimi nimesoma shule ya msingi na watu wanajua kuchora balaa na nipo mkubwa najuana na watu wanatengeneza mabango na hawana elimu yoyote

Naomba niwekee na link ya wanaosoma college of engineering, college of law, college of business, account and finance pia na college ya Medicine kisha tuone ni nani mwanafunzi.
 
UNGESEMA TU AMETANGAZWA MWANAFUNZI BORA WA department ya Creative Arts UDSM.
Wewe umeandika kama vile ni mwanafunzi bora wa chuo kizima (Overall) kitu ambacho sioni kama ni sawa.
Hii ni sawa na kulinganisha pass mark za mwanafunzi wa KLF/HKL na wanafunzi wanaosoma PCB/M au pengine ni sawa na kulinganisha karanga na mahindi wakati kila kimoja kina simama cheyewe
 
Taja wewe mwanafunzi bora ni nani ? Na amepata gpa ya ngapi.

Maana unabisha bila kuweka ushahidi wako.
 
Taja wewe mwanafunzi bora ni nani ? Na amepata gpa ya ngapi.

Maana unabisha bila kuweka ushahidi wako.
unawezaje kuwa na mwanafunzi bora mmoja overall wakati; wengine wanasoma uvuvi, wengine engineering, wengine ualimu, wengine librarian? doesn't make sense.
Nafikiri Ili uwe na mwanafunzi bora mmoja, Ingefaa kipimo cha kuwapimia kiwe kimoja (kiwe sawa) sasa hapo kila Idara imepima wanafunzi wake kivyake; simply haiwezekani
 
unawezaje kuwa na mwanafunzi bora mmoja overall wakati; wengine wanasoma uvuvi, wengine engineering, wengine ualimu, wengine librarian? doesn't make sense
Ili uwe na mwanafunzi bora mmoja, lazima kipimo cha kuwapimia kiwe kimoja (kiwe sawa) sasa hapo kila Idara imepima wanafunzi wake kivyake; simply haiwezekani

Uhalisia Udsm ina undergraduate degree program zaidi ya 80.

Hivyo ukisema kila kozi mwanafunzi bora wake atajwe peke yake na kupewa zawadi maana yake watu 80 wataitwa mbele kwenye graduation na kupewa zawadi .

Huwaga wanatangaza overall best student yaani aliewapita watu wa kozi zote kwa gpa.

Chuo kikuu kinatazama GPA.

Huyo dogo wa creative arts kafikisha GPA 4.8 ambayo ni kubwa kuliko wanafunzi wa kozi zote zaidi ya 80.

Ndio maana kapata nafasi ya kuitwa mbele na kupewa zawadi na Mkuu wa chuo Kikwete.

Kikwete hawezi kuita watu 80 wa kila kozi. Anaitwa aliyeburuza kozi zote
 
Sawa bwana japo wakiendelea na huo utaratibu (ambao sioni kama ni sawa) itakuwa ni vigumu kwa kozi zingine hasa za Science kutoa mwanafunzi bora au labda chuo kifanye tu maarifa kwa ajili ya kuhamasisha watu wasome hizo course...
 
Sawa bwana japo wakiendelea na huo utaratibu (ambao sioni kama ni sawa) kozi zingine hazitakuja kutoa mwanafunzi bora hadi Yesu arudi au labda chuo kifanye tu maarifa kwa ajili ya kuhamasisha watu wasome...

Kwa nini zisitoe. Engineering ndio inaongoza kutoa best student kwa miaka mingi

Inafuatiwa na udsm business school.

Hao watu wa creative arts. Mwaka huu ndio mara yao ya kwanza kutoa best student.

Hawajawai kutoa best student toka chuo kimeanzishwa.

Mwaka huu wamefanikiwa kutoa best student sababu huyo dogo aliiingia chuo akiwa tayari anajua kupiga kinanda na magitaa vizuri.. hivyo chuoni kwenye kozi yake ya music akawa ana advantage kubwa.. maana ameshajifunza toka utotoni kuhusu vinanda hivyooo.. ndipo akawa anapiga mabanda tu ya kutosha
 
UNGESEMA TU AMETANGAZWA MWANAFUNZI BORA WA department ya Creative Arts UDSM.
Wewe umeandika kama vile ni mwanafunzi bora wa chuo kizima (Overall) kitu ambacho sioni kama ni sawa.
Hii ni sawa na kulinganisha pass mark za mwanafunzi wa KLF/HKL na wanafunzi wanaosoma PCB/M au pengine ni sawa na kulinganisha karanga na mahindi wakati kila kimoja kina simama cheyewe
Yes ni Overall wa kozi za arts, maana huwa kuna best wa aina mbili wanaosoma Arts na sciences huwa wanatenganishwa lakini bila kujali as long as ni kozi za arts na anaweza kutokea katika fani yoyote, mfano tumeona miaka kadhaa iliyopita alipatikana kutokea department ya Kiswahili etc

Kuhusu passmark waangalia ufaulu na ndio maana wote wanagrediwa kwa GPA
 
😅🤣🤣🤣😅Ila UD hapana Asee,
Aii yo yo yo yo Lavu 4.8GPA best student wa Chuo kizima?😅
Hayo Mambo si hata uku mtaani tunayo tena kabambe kabisa na la 7 watupu.
 
Back
Top Bottom