Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
we huoni hapoSasa elimu imezalilishwa kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we huoni hapoSasa elimu imezalilishwa kivipi?
Mimi sioni maana elimu kitu kipana sana hata mziki ni elimu kama elimu nyinginewe huoni hapo
Akiipata A wewe inakuuma nini?
GPA ya, arts! Na yanyewe ni ya kushangilia?
Tupo dunia ya artificial intelligence, wewe unaona arts ni kitu cha maana! Kama samia hata degree Hana, ila anapewa PHD, Mond anastahili zaidi ya hiyo degree na gpa zake,
Huyo, mwenye GPA, ngoja arudi kitaa, ataenda kuomba ajira kwa Mond
Rais wa chuo msani msanii ulitegemea nn kwenye kozi hiyo
Hakunaga best student wa udsm anasota kitaa kutafuta ajira.
Haijawai kutokea na haitawai kutokea
Best student anapewa fursa nyingi tu za ajira na za kusoma bure
Weka reference tuone
wale waliotumwa na kijiji wazee wa kukariri sijui wana hali gani
Coet, udbs,conas etc chali
Maisha siyo magumu hivo
So what? Chemical alisoma Archaeology sio Music? Scholarships zipo hata za mambo ya 🌈
Hakuna haja kusoma makozi magumu wakati kuna kozi unamaliza unakuwa na kazi ya kusifia watu na hela unapata plus maisha safi
Kujisifia umesoma kozi ngumu na hela huna ni sawa na kuwa na kichwa bila ubongo
Yule wa kike kasomea nn?Wazee wa kukariri tumevurugwa . Dogo mkata viuno anabeba ma award na degree yake ya kudance dance
G clef notes kuzisoma sio mchezo ni kama mahesabu 😄 wasanii wengi hio kitu hawaweziBA Music Kwa nn usipate A?
Watu wanauchukulia poa mziki kusoma kuchora staff notes wanaona ni suala jepesi jepesi tu 😄Ivy league university zote Zina sponsor watu wa michezo na kua mchezaji ni kigezo kikubwa Cha kuchaguliwa.
Treble clef wanazichukulia poa 😄Wanaodhani muziki ni kitu rahisi kama kemia na fizikia poleni sana