Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Habari wadau,

Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023.

Kijana huyo ameongoza kwa GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM.

Amesoma Bachelor of Arts in Music

GPA hiyo ameipata kwa kujua kupiga kinanda vizuri

Kujua kuimba live na kucheza vizuri

Kujua kufanya fashion show vizuri ( model)

Pamoja na kuwa mburudishaji mzuri kwenye events zinazoendeshwa na udsm department ya creative arts.

Hii inaonesha udsm na wao ni wametambua kwamba dunia imebadilika. Vitu vyepesi vya kuimba na kudance dance ndio vinapendwa na kizazi cha 2000 maarufu kama generation Z.

Best student alivyotangazwa ameshangiliwa na wahitimu wotee maana wanamjua balaa lake akiwa jukwaani.

Amepewa ufadhili wa masters. Na zawadi zingine.

View attachment 2785429View attachment 2785430
View attachment 2785431
Hii siyo kuwa Tanzania ndiyo ilikuwa nyuma kukubalika? Nchi nyingine haya ni mambo ya zamani tu na siyo suala la generation z....
Kuna bendi za music kama hizi za rock, heavy metal ... unakuta watu watatu na magitaa yao na drummer mmoja wanapiga mziki mpaka basi..... Siri ni kuwa na mabingwa wa kupiga gitaa au drums.. na wengine unakuta wamesomea kabisa.
 
Dogo mwenyewe mwepesi tu. Sasa hiyo Masters in Music anataka kuwa nan?

Unahisi music hauna wataalamu wenye masters na phd.

Walimu wa music wa hapo udsm ama vyuo vikuu vingine hawana elimu ya masters na phd ?

Kozi za music zina scholarships nyingi sana tena za vyuo vikuu bora duniani.


Msanii wa bongo fleva chemical alimaaliza hapo udsm degree ya music amepewa scholarship ya masters na PHD kwenye chuo kikuu kikubwa uingereza.

First class za Degree za engineering hawapati hizo schoraships za vyuo bora vya ulaya na marekani wanaishia kusoma japan , china ama vyuo vya Africa.

Ila hao madogo wa music wanapewa scholarships vyuo vikuu bora vya ulaya na marekani. Wazungu wanapenda sanaa sana
 
Back
Top Bottom