Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Sawa bwana japo wakiendelea na huo utaratibu (ambao sioni kama ni sawa) kozi zingine hazitakuja kutoa mwanafunzi bora hadi Yesu arudi au labda chuo kifanye tu maarifa kwa ajili ya kuhamasisha watu wasome...

Sasa zitatoaje mwanafunzi bora Kama wanafunzi wenyewe hawasomi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Kama umeelewa ni kwamba wazungu wanahitaji wasanii zaidi kutoka afrika na sio wanasayansi na wavumbuzi,ukimiliki tecnolojia umemiliki ulimwengu.
 
Hao FPA wanadharaurika sana toka tunasomesha sie in 90s.
 
Dogo yuko vizuri jamani mziki nao ni mgumu kuna mtu anaona kazi yake ndo ngumu ...mfano tu ww hapo uwekewe kinanda harafu kuna mtu anaimba upige na huyo mtu ajue kufata mdundo wa beat na mianguko na mipando sio kazi ya lelemama
 
Hutasikia anahangaika na bahasha mtaani huyu. Katoka na ajira yake mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…