Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje

Soma: Sio kosa mtu kuchoma mali yake
 
Mambo ni moto
 
Attachments

  • Screenshot_20250125-000941.jpg
    Screenshot_20250125-000941.jpg
    410.7 KB · Views: 5
Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake
Hayo maneno (bolded) yana maana kubwa kiroho. Labda alitaka kutolewa kafara na ameushtukia mchezo. Kuna mambo mengi ya giza kwa baadhi ya hawa mitume na manabii 🚮

👇👇👇👇👇👇👇👇

Screenshot_20250127_094931_YouTube.jpg
 
Hayo maneno (bolded) yana maana kubwa kiroho. Labda alitaka kutolewa kafara na ameushtukia mchezo. Kuna mambo mengi ya giza kwa baadhi ya hawa mitume na manabii 🚮
Sahv haya makanisa nayo ni kwenda kwa step tena kama unakipawa nyota yako inang'aa hawachelewi kukuunganisha kwenye mambo yao au wakutoe kafara
 
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje
Amshukuru Mungu kwa kumfunulia hilo.
Apambane kuikomboa nyota yake iliyoshikwa na ile madhabahu ya uwongo.
Ndomana tangu apewe zawadi amezimika kama mshumaa... Mungu amrehemu
 
Back
Top Bottom