Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia tukio vizuri ni uongoUtakuta mtu ashaliwa marinda
Ova
Imani ya nyota kwa Afrika tu?🤣🤣🤣Amshukuru Mungu kwa kumfunulia hilo.
Apambane kuikomboa nyota yake iliyoshikwa na ile madhabahu ya uwongo.
Ndomana tangu apewe zawadi amezimika kama mshumaa... Mungu amrehemu
Asingechoma mkuu. Ni kweli alipotea na kupotezwa mara baada ya kwenda kwa jamaa yule wa Kisongo.Ukute drama tu dogo anataka kuRelease nyimbo mpya apate attention tu.
Kwahiyo nikitaka kuchoma gari langu lazima nimuombe ruhusa mtu?Iko video inasambaa ikimuonesha muimba wa nyimbo za injili GOODLUCK GOZBERT Akichoma moto Gari alilopewa zawadi na Mchungaji wake GEODAVIE!
Tukio hilo limeibua hisia tofauti na maswali mengi kutoka kwa watu pasipo na majibu ya wazi kutoka kwa msanii huyo aliyeamua kuficha sababu za kuchoma gari ile!
IKUMBUKWE Hakuna cha bure duniani, Jiulizeni kwanini apewe yeye wakati hapo kanisani wapo waumini wengi hawana magari? Hakuna cha Bure!
Lakini pamoja na kuficha sababu ilihali kaamua mwenyewe kulichoma gari hadharani hatuwezi kusubili na kumbembeleza ili atueleze kwasababu angetaka ibakie kuwa ni siri angelichoma kimya kimya bila kurekodi!
Msanii huyu hawezi kuwa inje ya sababu zifuatazo zilizopelekea kuchoma gari hilo alilopewa zawadi
1.Ili kujiondoa kwenye kifungo cha kiroho kilichoambatana na hilo gari (hii inachukua 90%)
Tazama wakati anachoma alitamka wazi kuwa ile ni zawadi aliyopewa pamoja na kushiriki chakula kutoka kwenye madhabahu ambayo anaituhumu kwamba haikuwa sahihi kwake, hili linamaanisha Alichukuliwa mateka kiroho/ kinyota kwa kibali cha sadaka aliyokula na gari alilopewa!
Swali?
Kwanini asingerudisha hilo gari kwa mchungaji kama hakubaliani na zawadi hiyo kutoka madhabahu isiyo sahihi kwake ili wapewe wengine?
Majibu! Tangu lini mtu aliyepewa HIRIZI na mganga anapookoka huwa anarudisha HIRIZI kwa mganga ili wapewe na wengine badala ya kuiteketeza?
2. Sababu ya pili ni kutafta kiki (hii inachukua 5%)
Ni kweli alipewa zawadi hadharani na jamii iliona,
yamkini yapo makubaliano waliyokubaliana kwamba ataendelea kupokea mshiko kutoka kwa mchungaji huyo kama mfadhili wake kwa kumpromote kama muimbaji jambo ambalo haoni likitekelezwa tena,
Hivyo akaona alichome gari hilo ili kuiaminisha jamii na kulitumia kama fimbo ya kumchafua mchungaji huyo!
3. Sababu ya Tatu ni uchakavu wa gari
lalipewa tangu 2021, ikumbukwe kuwa ile ni Merzidiz benz inataka spea original Labda pengine limemshinda spea/Matengenezo au alipewa likiwa bovu (alipigwa) (lakini hii inachukua 3%)
4. Sababu ya nne hilo gari yamkini pengine linaweza kuwa limepiga tukio la kihalifu mahali hivyo anamtumia mchungaji kama mbinu ya kupoteza ushahidi (hii inachukua asilimia 2%).
Dunia imebadilika ukiambiwa tazama kushoto wee nenda kulia; Polisi wataielewa zaidi hii sababu ingawa ina asilimia ndogo katika uchambuzi huu!
Polisi Wajaribu pia kujiridhisha kwa ukaguzi,
Mimi kama Fundi Samico kwa akili yangu ya darasa la saba nawashauri Polisi wamuombe huyo muimbaji Akafute usajili wa hilo gari TRA ili hilo gari liondolewe kwenye usajili kwa muimbaji huyo kutoa maelezo kwa faida ya baadae!
Yote tisa haya ni maoni yangu kama fundi Samico, Vitu vyote vyenye usajili wa kiserikali ikiwemo nyumba, gari na fedha, Hata kama mmiliki umechoka Huwa Havileketezwi hadharani kienyeji bila kufuata taratibu na kanuni.
Hiyo sababu namba moja ndo yenyeweIko video inasambaa ikimuonesha muimba wa nyimbo za injili GOODLUCK GOZBERT Akichoma moto Gari alilopewa zawadi na Mchungaji wake GEODAVIE!

Wacha watifuane dini ishaingiliwaAisee! Wakristo msipoaminiana sisi wapagani itakuwaje?
Huyo kijana ni hovyo kabisa.Ilitakiwa amrudishie kama halitaki.Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi
Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake
Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje