Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje

Tuliwambia hizo gari siyo
 
In serious country he is arrested
 
Gari alilochoma ni la dark blue hivi. Hebu ngoja nilinganganishe plate number
Hakuna mbongo mwenye ubavu wa kuchoma gari..hiyo ni video fake...ras
 
Back
Top Bottom