Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Anngeenda kuligawa hata kwenye taasisi za kusaidia jamii lingetumika katika harakati hizo angekuwa amefanya jambo la maana
Yeye kafuata masharti ya mganga wake ndio maana kalichoma moto...

Kuna milioni 2 alipewa na nabii mkuu siku alilopewa hilo gari...

Sijaona kwenye video kama na hizo hela kazichoma moto 😂😂😂
 
INGIKUA BUSARA SANA KUNIPA ILO GARI NIKAFIE NALO MBELE HUKO SIJAPENDA KUJIKUTA VAN DISEL
 
Huyo nabii anakashifa nyingi sana na zote anazijua na ameshazizoea,kuna la kula mke wa mtu,kuna la kuwa yeye sio mtanzania ni mkongo kuna la kuwa mazabau yake ina mauza uza

Na bado ana wafuasi wengi tu huko kanisani
 
Amechoma mali yake! Sijui kama Wataalam wa mazingira wana la kusema hapa!
 
Angalia vizuri kuna hatua wameivuka...hatuoni walivyowasha moto hadi kuungua...kwanini wameikata video
Naona ni wewe tu peke yako uliyegundua kwamba ni feki.
 
Kama alikua haitaki tena nini asingeifanya hiyo gari kuwa ambulance ya kubebea wagonjwa. Kuichoma ilikuwa ndo suluhisho?
 
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje


Mambo ya content creation , naona anawaiga Jay z na Kanye west walivyolibonda bonda lile gari ili walitumie ku shoot video.
 
Back
Top Bottom