Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Mtu kuchoma gari lake sio kosa kisheria, unless ingekua imemuathiri mtu mwingine
Kuchoma gari ni kuharibu mazingira, gari lina moshi wenye sumu nyingi sana, hilo litamuathiri kila mtu.

Gari lake lakini hewa si yake.
 
Hivi hii haiwezi kuwa kosa kisheria? Kwanini asirudishe? Aliyempa hawezi kumfungulia kesi? Vipi polisi?

Kuna wakati nahisi wapagani wana amani kuliko baadhi ya waumini wa hizi dini
Ni kosa kisheria Malicious injury to property chini ya Sect 326 Cap 16 RE 2022 na adhabu yake ni kifungo cha miaka 7 jela
 
Huyu nabii ana kashfa za uchawi na kafara
Yule mwanae Nisher inasemekana kuna mkono wake kwenye kile kifo
Hata kama ni kweli lakini wa Tz wana kasumba ya kusingizia matajiri kuwa wanatoa kafara
 
Msanii wa nyimbo za injili Goodluck Gozbert ameamua kuchoma gari alilopewa kama zawadi na nabii geodavie.

Gari hili alipewa mwaka 2021 na amedai alifanya makosa kuwa alifanya makosa sana kushiriki katika madhabahu ile na amesema ataeleza yote yaliyomsibu baada ya kupewa zawadi hiyo

WanaJF ni nini mitazamo yenu khusu sakata hili je hakuna kosa kisheria juu ya hili?
 
Vipi na chakula alicholishwa,atachana utumbo au?kweli afya ya akili ni muhimu sana,huyu jamaa ni physcopath tutajionea mengi kutoka kwake ndo kwanza pameanza kuchangamka.
 
Huyo kijana kuna kipindi watu walikuwa wakidai ni choko huenda ni kweli maana uwa simuelewagi kabisa.
 
Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje

Kaamua kuchoma moto mali yake, hajahatarisha maisha ya mtu wala watu...

Labda sana sana atabanwa na sheria za uchafuzi wa mazingira kama zitakuwepo...
 
Mwanaume kupewa vitu vya bure bure haipendezi aisee jifunzeni kukataa
Wewe bwege nini kila kitu Duniani ni bure sema madalali wanatudalalia vitu tu ardhi ni bure,madini ni bure,maji bure,pumzi bure,chakula ni bure,
Hela haijawahi tengeneza natural resources ila watu walitengeneza hela Ili kucontrol vitu Ili wachache wajipe umiliki huko wengine wakikosa kwa kigezo hawana hela kumbe ni scam!!!!

Mimi hata ingekua shetani bin Iblis kanipa zawadi ya pumzi nisingekubali kuikataa sembuse gari kama huyo jamaa?

Mimi naamini mtu mwenye nguvu kiroho na yupo high advanced Consciousness hawezi tetereka na kuogopa chochote,
Eti nilipokea gari kutoka madhabahu fodingo
Fotooooo!!!😁

My friend nageuza Laana kua Baraka mpaka shetani aogope tena kunipa vitu maana hatapata return yeyote toka kwangu ni kama Mwamba unahonga Benz kwa demu na hujamla anakuja kuliwa na mwosha gari
Hahaha
Ubaya ubwela huyo Boya aache uoga na kuogopa kinyago cha mpapule wakati Mungu yupo upande wake na imeandikwa utakula vya adui zako na hawatakufanya kitu kama Israelites Wakaanani wakala kichapo na mali wakaporwa!
😁😁😁
 
Lakini wakuu nimeirudia ile video wakati anapewa gari haikuwa nyeusi,. Ilikuwa ni silver🤔
Haya sasa atuambie na ile Milioni2 ya nabii anairudishaje
 
Goidluck yupo kwenye ulimwengu wenye utata wa kiroho.Ni sawa na mtu aliyesajiliwa kwenye jiji la majini.Atahamia kwa mwamposa atakuwa hajafanya kitu,au kwa kuhani mussa,ni bure tu,sijui aende kwa wale vijana akina masanja na wenzie bado atakutana na mungu olodumare.
Katika ulimwengu wa kiroho,walokole wengi wamekubali kupokea roho za kishetani huku wakitumia jina la Yesu.

Atulie na kumwomba Mungu sana huku akisoma maandiko na kumsikiliza roho mtakatifu anamwambia nini

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Vipi na chakula alicholishwa,atachana utumbo au?kweli afya ya akili ni muhimu sana,huyu jamaa ni physcopath tutajionea mengi kutoka kwake ndo kwanza pameanza kuchangamka.
Wamkumbushe tu kurudisha na ile milioni2 aliyopewa kwajili ya mafuta na kuwekea tairi mpya😄,. Kwanza kachoma gari nyeusi wakati aliyopewa sikuile kanisani ilikuwa silver...

Sitashangaa kama ni kiki kwasabu alipotea mda mrefu ukute anatafuta namna ya kutaka kusikika tena,. Wasanii wabongo tunawafamu vizuri sana
 
Back
Top Bottom