Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

GD Hana vigezo Wala sifa za kuwa Mtumishi wa Mungu wa Mbinguni (Yahweh), labda mungu mwingine maana miungu ipo mingi hata na shetani ni mmoja wao.

Siwezi kimlaumu Gosbert kwa kujitambua.
 
Kuna sehemu nimesoma, jamaa kauliza
Eti nabii mkuu ni cheo au jina?
na kapewa na nani?
 
Mbona Gari kwenye Picha ni nyeusi inachomwa ila aliyopewa ni nyeupe/silver?
 
Kuna mtu kantonya eti labda gudi aliliwa tgo so kaombwa tena kwa kigezo cha akikataa atatangaziwa kwa watu akaona bora achome tu kwa hasira. Maana kuchoma gari si kitu kidogo mazee.
 
Ukiwafatilia hawa mitume wengi ni waunza unga, watakatisha pesa za wanasiasa na wauzaji wa viungo vya Binadamu (Organ traffickers).

Nikipata muda na kukusanya taarifa nitaandaa mada kuelezea hizi "Cults" za kupeana Utajiri zinavohusika na Uvunaji wa viungo vya Binadamu, Tamthilia ya "Squid game" kwa kiasi Fulani imeonesha yanayofanyika nyuma ya hawa Watu ambao always wanahela za kugawa hili kuita watu
 
Wamkumbushe tu kurudisha na ile milioni2 aliyopewa kwajili ya mafuta na kuwekea tairi mpya😄,. Kwanza kachoma gari nyeusi wakati aliyopewa sikuile kanisani ilikuwa silver...

Sitashangaa kama ni kiki kwasabu alipotea mda mrefu ukute anatafuta namna ya kutaka kusikika tena,. Wasanii wabongo tunawafamu vizuri sana
Atapata wapi hiyo million 2 na tayari anadai nyota yake imesepa na nabii,, asitufanye watu ni wajinga bwana Kuna mengi nje ya pazia anayaficha ila muda utasema.
 
Pumbavu kabisa huyo goodluck. Alaf hawa watu ndo wale ambao october wataweka tick kwenye ushungi na mawani
Goodluck Gozbert : nachoma gari moto sababu naona mavitu ya ajabu kwenye gari
 
Back
Top Bottom