Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Wakati anasubiriwa yesu airport ili abebwe na msafara wa David yeye Leo kachoma moto, Ina maana hatukuwemo kwenye msafara?
 
Mashtaka
1. Kuharibu Mali
2. Kuharibu Mazingira
3. Kuchafua Biashara za watu (unabii)
4. Kurekodi na Kusambaza maudhui hayo.
 
Kanisa litabaki moja tu, Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume (siyo hawa mitume akina GeorDavie and the like). Huko hukuti mambo ya kuibiana nyota!
 
Mwanaume kupewa vitu vya bure bure haipendezi aisee jifunzeni kukataa
 
Kanisa ambalo kiongozi wake mkuu anasapoti ndoa za jinsia moja.
Kanisa litabaki moja tu, Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume (siyo hawa mitume akina GeorDavie and the like). Huko hukuti mambo ya kuibiana nyota!
 
Atakuwa ujenzi huru(free mason) ana uhuru na maamuzi yake
 
Mithali 23:6-8 Usile mkate wa mtu mwenye husuda; Wala usivitamani vyakula vyake vya anasa;
Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Tonge lile ulilokula utalitapika, Na maneno yako matamu yatakupotea.
 
Mtu kuchoma gari lake sio kosa kisheria, unless ingekua imemuathiri mtu mwingine
 
Kama hakuna sheria za kuzuia uchafuzi wa mazingira inatakiwa ziwepo kuwashitaki watu kama hawa.
 
Back
Top Bottom