Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Upumbavu mtupu. Kesho akienda kwa mwingine na kuambiwa alikuwa madhabahu sahihi ataenda kuomba radhi au?
 
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje

Wakristo ni wapumbavu kama waislamu
 
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje

Kwani ali Pdidiwa?
 
Back
Top Bottom