Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Kapotea kwenye ramani,anaanza kutafuta wachawi hajui kuna nyakati zikipita hazirudi....atalikumbuka hilo benzi😂
 
Hivi huyo baba hilo kanisa lake mbona la kitajiri sanaaa....
Yani ni muhekalu...
 
Maamuzi ya kishujaa
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi

Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake

Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje



Soma: Sio kosa mtu kuchoma mali yake
 
Back
Top Bottom