Hayo maneno (bolded) yana maana kubwa kiroho. Labda alitaka kutolewa kafara na ameushtukia mchezo. Kuna mambo mengi ya giza kwa baadhi ya hawa mitume na manabii 🚮Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake
Sahv haya makanisa nayo ni kwenda kwa step tena kama unakipawa nyota yako inang'aa hawachelewi kukuunganisha kwenye mambo yao au wakutoe kafaraHayo maneno (bolded) yana maana kubwa kiroho. Labda alitaka kutolewa kafara na ameushtukia mchezo. Kuna mambo mengi ya giza kwa baadhi ya hawa mitume na manabii 🚮
ulaya hawakosekani ila africa ndo balaa. South africa kuna mtu anaitwa pastor Mboro alitamba sana miaka ya 2016Naomba niulize Hawa manabii na mitume mithili ya mwamposa walo hata ulaya au ni afrika tu
Pastor mboro aje bongo nimpe kiwanja ajenge kanisaulaya hawakosekani ila africa ndo balaa. South africa kuna mtu anaitwa pastor Mboro alitamba sana miaka ya 2016
Amshukuru Mungu kwa kumfunulia hilo.Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi
Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya kugundua madhabahu hiyo haikua sahihi kwake
Haya, wenye imani zenu na pia je kisheria hili lipoje