tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Keko yule dada anavaa kiume.....duuuh mimi nlijua anapiga mitungi kwa sana kumbe ni ngandasio jaki pekee ata KEKO amestaafu kuimba baada ya madawa kumzidia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keko yule dada anavaa kiume.....duuuh mimi nlijua anapiga mitungi kwa sana kumbe ni ngandasio jaki pekee ata KEKO amestaafu kuimba baada ya madawa kumzidia..
ooh jamani,ni nani anawaonjesha huo unga..sio jaki pekee ata KEKO amestaafu kuimba baada ya madawa kumzidia..
Hivi ndo huyu aliolewa na mzungu ka miaka miwili?duh maskini kati ya wote huyu ndie alisimama imara na kusonga mbele, hatari sana hapo I hope cindy yeye hatumii maana yupo waru waru mda wote mmh
Nilitaka kukomenti kuhusu hilo.asante kwa kuniwahi.uko sahihi 100%.na watoto wakiume wanaotumia hayo madude wanaponzwa na nini?Hao mabwana wao wa kitasha ndo wanachangia sana kuwaingiza kwenye madawa.
ndio maana baadhi ya familia zenye wazazi wenye kipato kizuri,hawaruhusu watoto wao waingie kwenye sanaa ya mziki,urembo na uigizaji hata kama mtoto ana kipaji.Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...