Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
umaarufu unakuja na pressure na expectations kubwa sana kutoka kwa jamii inayomzunguka msanii, sasa wakishindwa kuishi kuendana na huo umaarufu wao ndio wanakua frustrated na kukimbilia kujipooza na madawa ya kulevya
Wakati wa show ndio huingizwa na wajanja kwenye haya madawa.Kupata mzuka anashangaa aliperform vizuri bila nishai zaidi kurudia kutumia next time, ndio maana unaona wale waigizaji hili tatizo sio sana.
mwisho wanamuambia ile iliyokusaidia siku ile ilikuwa unga, keshaingia hatoki tena.